Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama akimkaribisha Balozi wa Sudan hapa nchini, Dk. Yassir Mohammed Ali (kushoto) alipofika Ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba mjini Dar es Salaam na kuwa na mazungumzo, leo.
Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama (kulia) akizungumza na Balozi wa Sudan Hapa nchini, Dk. Yassir Mohammed Ali, ofisini kwake leo, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam.
Huyu ni balozi wa Sudan au kada wa CHADEMA?mbona ametinga gwanda kama la Freeman Mbowe?Michuzi utakuwa umekosea!!!!!
ReplyDeleteSudan kaskazini au kusini??? Fafanua tafadhali
ReplyDeleteHuyu atakuwa Sudan ya kaskazini kwani kule kusini (juba) ni weusi tii na warefu sana (wajuba).
ReplyDelete