mama wa mitindo ASIA IDAROUS KHAMSIN ambae ametimiza maonesho ya mavazi 100 kwa tanzania tu mbali ya nchi za nje , yeye na team yake watazindua kituo maalum cha kusaidia waathirika wa dawa za kulevya kiitwacho KIKALE YOUTH CARE GROUP kinachotayarishwa huko maeneo ya kikale walaya ya rufiji. 

siku ya tarehe 10 feb katika onyesho la mavazi lenye hadhi duniani liitwalo LADY IN RED 2012 ambalo hufanyika kila mwaka , hili ni onyesho la saba mfululizo tokea limeanza . 

ASIA hufanya kazi zake tanzania na marekani za ubunifu wa mitindo onyesho la lady in red kwa mwaka huu litafanyika tanzania na marekani , karibuni wote kiingilio ni 50,000 kwa vip na 20,000 kawaida kutakua na live band na after party itfanyika nyumbani lounge.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. ankali nawewe ni sponsa kwa kuweka hili tangazo umekuwa sponsa hehe kaazi kweli kweli

    ReplyDelete
  2. Assalama Leko zako Mama wa Mitindo Asia Idarous Khamsini,,,

    1.Kufanya kazi za maonyesho ya mitindo TANZANIA na MAREKANI.

    2.Maonyesho kufikia 100 nchini Tanzania pekee.

    3.KIKALE YOUTH CARE GROUP (Kituo cha Waathirika wa Madawa ya ulevi).

    Ama kweli KAZI UMEIFANYA WENYE WIVU WAJINYONGE!

    INSHALLAH MUNGU AKUZIDISHIE!

    ReplyDelete
  3. Asia atulete vitu vya kusisimua tumechoka na style ile ile abadilishe mambo yote tupata something new ubunifu uwe hot sio as always.

    ReplyDelete
  4. Assalam Alaykum Mamaa Asiyah Idarous Khamsini!

    Uko juu kimitindo nadhani Nasaba /Ukoo wako mzima upo juu pia!

    Mie nitafutie mdogo wako au mwanao nije kamilikamili kuoa kwenu,


    Inshallah!

    Ust.Mohamed Omar
    Mbagala, Mgeni Nani-DSM

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...