MENEJA WA BENKI YA MAENDELEO YA KIISLAMU {IDB } BWANA MALIK SHAH AKIZUNGUMZA NA MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR BALOZI SEIF ALI IDDI HAPO OFISINI KWAKE VUGA MJINI ZANZIBAR.
BALOZI SEIF ALI IDDI (WA PILI KULIA) AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA UJUMBE WA BENKI YA MAENDELEO YA KIISLAMU { IDB } ULIOFIKA OFISINI KWAKE KUZUNGUMZA NAYE LEO.IDB NI MIONGONI MWA BENKI INAYOFADHILI WANAFUNZI WA KITANZANIA KUPATA ELIMU YA JUU KATIKA MATAIFA YA MASHARIKI YA KATI.
Mambo mazuri yaja inshaallah
ReplyDelete