Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. hilo kabati la milango miwili bei gani ? mbona kioo cha kabati ni kidogo sana ?

    ReplyDelete
  2. Hivyo kwa wadau wenye pesa zao na mafisadi. Sisi walalahoi twataka vile vilivyotumika tayari, wasikia hivyo amii!!

    ReplyDelete
  3. Hiyo sio kabati, ni JOKOFU.

    ReplyDelete
  4. Sasa duka lenu liko wapi dar?

    ReplyDelete
  5. HALLOO TUTOLEENI HAYO MAYEBO YEBO YA KICHINA, YASIYOKUWA NA UBORA. AU NINYI TAYARI MMEKWISHA ONGEA NA WATU WA TBS!

    MIMI NAISHI CHINA HAYO MADUDE YOTE SI YA THAMANI HIVYO WALA SIO MARK ZAKE KAMA ZINA MAJINA ORIGINAL NI FEKI TUPU. LETENI VITU KUTOKA ULAYA

    Mdau Shanghai

    ReplyDelete
  6. wewe mdau wa shaghai usiwe mjinga na mpungufu wa akili sio kukaa huko ndio ujifanye mjuaji sana kumbuka kuwa tanzania miaka nenda rudi tunatumia vifaa vya china na japan
    mambo ya vitu vya ulaya yameanza hizi siku tu.

    ReplyDelete
  7. Enzi za Mwalimu hivyo vitu vilikuwa "ANASA" na kama ulikuwa navyo basi ukaitwa "MHUJUMU UCHUMI"!

    Kweli Tanzania imebadilika, vitu kila mahala, magendo ya vitu vya kawaidia kama sabuni/sukari hakuna tena. Safi sana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...