Waziri wa Nchi Ofis ya Makamu wa Rais - Mazingira,Dkt Terezya Huvisa akimsikiliza Waziri wa Afya na Ustawa wa Jamii,Dkt. Haji Mponda ambae ni Mbunge wa jimbo la Ulanga Magharibi Wakati wa Mkutano wa Hadhara uliofanyika kijiji cha Lugala kuhusu Mashamba ya wakulima wa Bonde la kilombero Wilayani Ifakara Mkoani Morogoro.kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Kilombero Bw Francis Miti.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dkt Terezya Huvisa akitowa Maelekezo kwe Afisa Wanyamapori wa Wilaya ya Ulanga Bw John Makotta kuhusu Mipaka ya Mashamba ya wakulima kwenye Bonde la Mto Kilombero Mkoani Morogoro jana[Picha na Ali Meja].
Naombea tu mikutano ya WAKULIMA iweinahusisha WAKULIMA wa kikweli!
ReplyDelete