Mechi ya mpira wa miguu kati ya Polisi Mpanda FC (pichani juu) na Halmashauri ya wilaya mpanda iliyochezwa tarehe 20 /01/2012 katika uwanja wa michezo wa AZIMIO mpanda ambapo timu ya polisi iliifunga timu ya halmashauri ya wilaya kwa mabao 2 kwa 1
Benchi la ufundi la timu ya Polisi Mpanda FC
Benchi na mashabiki wa Polisi Mpanda FC
Mawaidha wakati waa haftaimu
Kiongozi wa timu ya polisi ambaye pia ni OC-CID wa wilaya ya mpanda Nyambalya akifurahia matokeo. Picha na mdau Inus Magoma
Sasa hapo kiwanja mbona hakionekani?yaani naona pori tu,wamechezea wapi?
ReplyDeleteRAS MAKUNJA:
ReplyDeleteRI KIKOSI RETU RA MUPANDA!
HAYA MUGUU PANDE, MUGUU SAWA, BUNDUKI BEGANI WEEEKA!
Pia pingu hao Halmashauri Mupanda na watoe statimenti kaunta kituoni watuereze kwa urefu iri tuwaandikie RB ni kina nani kati yao wala rushwa?