Home
Unlabelled
rais wa Zanzibar aonana na balozi wetu oman
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Huyo ni balozi wa Tz Oman au balozi wa Oman Tz? Naona mkanganyiko hapa, nahitaji ufafanuzi
ReplyDeleteRais arudishe nchi ya Zanzibar kwa Oman. Kwani kama Zanzibar ingebaki kuwa Mji Mkuu wa Oman sasa Wanzibari tungekua si mafukara kama tulivyofanywa na Watanganyika!
ReplyDeleteAnonymous Thu Jan 05, 11:02:00 AM 2012
ReplyDeleteIf Oman was such a rosy place, I don't think they would have revolted and burn down centers demanding more rights, work etc.
Just because you SMS your cousins there to send you a mobile phone or EID clothes does not mean life is a paradise.
Huko ni kjidanganya tu
ReplyDeleteWewe usiwe mpumbavu! Unguja itakuwaje mji mkuu wa Oman? Oman ipo Middle East, wewe uko Africa, wapi n wapi? Katika mapinduzi muliwaua waarabu kama kuku nani amekwambia wanataka kurudi Unguja? Na kuna nini huko zaidi ya karafuu? Usiwe unaropoka bila ya kufikiria. Yakhe vipi?
ReplyDeleteUR very right wewe hapo juuu karume alikosea saaaana kuungana na SISI huku Barack ambao 95% ni wanafiki
ReplyDeleteSafi sana. Uamumuzi wa busara kumteua Mhe. Ali Saleh kuwa Balozi Muscat,Oman. Huyu Bwana ni mchapa kazi na anaijua kazi yake. Naamini Tanzania kwa ujumla itafaidika sasa na mahusiano haya. Ni vyema Serikali ikaojipanga vizuri ili hayo mahusiano yakaimarika. Na jamaa zangu wa hapo juu naona mukiona Fanta munastuka. Huy balozo ni mpemba wa kule Wete. Kiwanda ni hicho hicho kinazalisha Fanta na Coca Cola.
ReplyDeleteAnony hapo juu 11:02:00 am hanishangazi. Kuna hulka ya baadhi ya Wazanzibari kuwa wepesi wa kuilaumu bara kwa matatizo yao yote. Tukumbuke Mwalimu alivyotuasa; sumu ya ubaguzi haina mwisho. Kesho wabara tukijito wataanza kusakan wapaemba na waunguja. Inshallah tuiombee nchi yetu na muungano wetu uwe bora zaidi badala ya kuwa chanzo cha kusutana. Wanaotaka kwenda Oman waende!
ReplyDelete