Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi wa  tanzania nchini Oman  Mh Ali Ahmed Saleh,aliyefika kujitambulisha na kumuaga Rais Ikulu Mjini Zanzibar leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Huyo ni balozi wa Tz Oman au balozi wa Oman Tz? Naona mkanganyiko hapa, nahitaji ufafanuzi

    ReplyDelete
  2. Rais arudishe nchi ya Zanzibar kwa Oman. Kwani kama Zanzibar ingebaki kuwa Mji Mkuu wa Oman sasa Wanzibari tungekua si mafukara kama tulivyofanywa na Watanganyika!

    ReplyDelete
  3. Anonymous Thu Jan 05, 11:02:00 AM 2012
    If Oman was such a rosy place, I don't think they would have revolted and burn down centers demanding more rights, work etc.
    Just because you SMS your cousins there to send you a mobile phone or EID clothes does not mean life is a paradise.

    ReplyDelete
  4. Huko ni kjidanganya tu

    ReplyDelete
  5. Wewe usiwe mpumbavu! Unguja itakuwaje mji mkuu wa Oman? Oman ipo Middle East, wewe uko Africa, wapi n wapi? Katika mapinduzi muliwaua waarabu kama kuku nani amekwambia wanataka kurudi Unguja? Na kuna nini huko zaidi ya karafuu? Usiwe unaropoka bila ya kufikiria. Yakhe vipi?

    ReplyDelete
  6. UR very right wewe hapo juuu karume alikosea saaaana kuungana na SISI huku Barack ambao 95% ni wanafiki

    ReplyDelete
  7. Safi sana. Uamumuzi wa busara kumteua Mhe. Ali Saleh kuwa Balozi Muscat,Oman. Huyu Bwana ni mchapa kazi na anaijua kazi yake. Naamini Tanzania kwa ujumla itafaidika sasa na mahusiano haya. Ni vyema Serikali ikaojipanga vizuri ili hayo mahusiano yakaimarika. Na jamaa zangu wa hapo juu naona mukiona Fanta munastuka. Huy balozo ni mpemba wa kule Wete. Kiwanda ni hicho hicho kinazalisha Fanta na Coca Cola.

    ReplyDelete
  8. Anony hapo juu 11:02:00 am hanishangazi. Kuna hulka ya baadhi ya Wazanzibari kuwa wepesi wa kuilaumu bara kwa matatizo yao yote. Tukumbuke Mwalimu alivyotuasa; sumu ya ubaguzi haina mwisho. Kesho wabara tukijito wataanza kusakan wapaemba na waunguja. Inshallah tuiombee nchi yetu na muungano wetu uwe bora zaidi badala ya kuwa chanzo cha kusutana. Wanaotaka kwenda Oman waende!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...