SERENGETI FREIGHT FORWARDERS
WAZEE WA KAZI 
LETE MZIGO WAKO TUTAUFIKISHA MPAKA SEBULENI KWAKO DAR!
OUR PRICESS FROM TILBURY 
SALOON CARS TO DAR/MOMBASA FROM £720
4X4 CARS TO DAR/MOMBASA FROM £800
NEXT VESSEL SAILS 22/02/2012 CUT OFF 17/02/2012
OUR PRICESS FROM SHEERNESS
SALOON CARS TO DAR/MOMBASA FROM £700
4X4 CARS TO DAR/MOMBASA FROM £780
NEXT VESSEL SAILS ON 10/02/2012 CUT OFF 08/02/2012
BEI ZETU TUNAZIANIKA HADHARANI NA HAZINA KIGUGUMIZI
BEI TULIYOKUPA NDIO UTAKAYOLIPA!
SEA  CARGO/VIFURUSHI MPAKA DAR AT £2.20 PER KILO INCLUSIVE CUSTOMS CLEARANCE
NEXT CONTAINER FOR VIFURUSHI KUONDOKA 05/02/2012
CHUKUA MZIGO WAKO MAGOMENI DAR
KAMA UKO DAR TUNAWEZA KUKUFIKISHIA MZIGO NYUMBANI KWAKO BURE
TEL             00255 22 5000002      
Contact us for more info;
CHRIS LUKOSI 07903828119 
SIMON LOUIS (MOHSIN) 07950689243
HASSAN (RICHARD) 07405159255
HQ -  UNIT 92 THAMES INDUSTRIAL PARK, PRINCESS MARGARET ROAD, EAST TILBURY, RM18 8RHRH
Tell             (+44) 01375 855917        Fax (+44) 01708202477
                                                  

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. Waongo wakubwa, nimepeleka tv flat screen wamesema ooh hii inability ulipe zaidi kwa kutumia volume. Watu msidanganyike, shop around first before approaching these jugglers

    ReplyDelete
  2. WAZEE WA KAZI:

    Mnastahili Pongezi kwa Kujiajiri na Kufanya kazi kwa Ufanisi.

    Hii imetujengea heshima Wa Tanzania na kututoa kimasomaso kuwapa ujumbe MA BABILONI wa Uingereza na waliopo huku Tanzania kuwa uwepo wetu huko sio wa sisi KIBEBESHWA MA BOX!

    ReplyDelete
  3. sisi wenyewe hatuna hela huku nyie mko ulaya na bado mnataka pesa zetu khaaa !!! mnazidi kutunyonya ...jamani

    ReplyDelete
  4. sasa mimi naishi katik chumba kimoja na sina sebule sasa itakuwaje ? maana nyie mesema mnaleta sebuleni tu.. dah maana sitaweza kupokea bahasha yangu ?

    ReplyDelete
  5. huyo anonym wa pili ni wazee wa kazi wnyewe wamejifagilia .... duh

    ReplyDelete
  6. Items zimechelewa kufika na mizigo yangu mingi damaged wanasema hawajui ilipo

    ReplyDelete
  7. Jamani mbona sisi wabongo tunakuwa na roho mbaya namna hii, kama hamna kitu cha kusema sibora mmnyamaze tu.
    Kama kweli kuna tatizo lolote kuhusu hawa Serengeti je mna ushahidi gani? Je mlishawahi kuwafuata na wakashindwa kurekebisha matatizo yenu?
    Wacheni roho mbaya maisha hayapo hivyo!
    WELL DONE SERENGETI AND KEEP UP THE GOOD WORK.

    ReplyDelete
  8. WAZEE WA KAZI

    ReplyDelete
  9. SALABED UK

    ReplyDelete
  10. ANKAL UNAFANYA VIBAYA KUBANIA COMMENT ZA WATU ACHA WATU TUONGEE UKWELI ILI IWE TAHADHALI KWA MTU ANAETAKA KUPELEKA MIZIGO YAKE.HIVI UNAZANI BILA KUWAPA UKWELI HAWA RAFIKI ZAKO WATAJIREKEBISHA?MTU UKIAMUA KUFANYA BIASHARA KAMA KUNA KASORO ACHA WATU WASEME,SASA UNAVYOBANIA SIO VIZURI.

    ReplyDelete
  11. mizigo imechukuwa miezi minne na bado sijapata sebuleni wala jikoni na hao viongozi wa London ukiwauliza wanakupa namba ya agent Mr Mziray ambaye hajui mizigo gani ipo ndani ya kontena.

    ReplyDelete
  12. waliahidi mizigo ingefika november 30 lakini mpaka sasa mwisho wa januari mizigo haijatoka na hata mabadiliko yakitokea hawajulishi wateja mpaka waulizwe, na hili mnasemaje waungwana wa serengeti?

    ReplyDelete
  13. hawa jamaa bwana hawajui biashara mtu unatuma mzigo miezi 3 na nusu utafikiri wanaubeba kwa kichwa halafu ukipiga simu kuulizia wanakupa hadithi tofauti. only if they can improve in the comunication.just may be i mighty use them again

    ReplyDelete
  14. website yenu haiko updated tangu mwaka jana, huo umakini uko wapi?
    Mfano... offer ending 31st Sept 2011, mbona 2011 imeshapita??/

    ReplyDelete
  15. Nakubaliana na wa juu shop around some other company ship cars for £50 cheaper than them. Utatapeliwa Hawa jamaa ni kama daladala mzigo hauondoki mpaka kontena lijae service chafu kabisa halafu hawasemi ukweli.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...