Kikosi cha Timu ya Simba
Kikosi cha Costal Union
Mshambuliji wa katikati wa timu ya Simba,Gervas Kago akijaribu kutaka kuwatoka mabeki wa Coastal Union wakati wa mchezo wa ligu kuu mzunguko wa pili uliopigwa leo kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaa.Simba imeshinda ba- 2-1..
Mshambuliaji wa Simba, Patrick Mafisango akimtoka beki wa Costal Union, Hamis Shemgo.
Haruna Moshi 'Boban' akimtoka beki wa Coastal Union.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Big uo simba sc big Haruna moshi Boban pls kaka badilika kitabia uiokoe Taifa stars naamin mchango wako muhimu sana utaifikisha mbali ukishirikiana na wenzako.

    ReplyDelete
  2. "Simba yaufunga Coastal Union bao2-1" Lugha yenu inawashinda afu mnang'ang'ania lugha za watu. Ungekuwa umekosea kuandika english iliyo fasaha ungechekwa sana. Lakini kwa vile ni lugha yako mwenyewe tutakupa break...
    Wazungu walitupumbaza.

    ReplyDelete
  3. Ahhh kwa mtaji huu, hebu angalieni wenzenu Moro UTD na Azam,,,Wagosi wa Kaya bado ni tawi la Msimbazi!

    ReplyDelete
  4. Tafadhali Michuzi tutmie kila mara msimamo wa ligi tafadhali.

    ReplyDelete
  5. tuwekee coastal union original ya akina mwameja, mwakuruzo, mdaula, siyo hii feki.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...