Make: | Toyota |
Model: | RAV 4 |
Color: | Blue |
Year of Manufacture: | 1995 |
Engine Capacity: | 1990 |
Mileage: | 166,336 |
Transmission: | Automatic |
Tires: | Changed in 2009 (Type: GOODYEAR) in very good condition almost new. |
Car is in good condition. Price 8.5m. Call number 0763-475977. |
Home
Unlabelled
Toyota RAV4 inauzwa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Gari ya 1990 kwa pesa hiyo? tena short chasis? hupati mtu ndugu hapo.
ReplyDeletemay be kwa 5 hadi 5.5m mwisho
Nakushauri gari hiyo uitoe kama msaada au zawadi kwa ndugu au jamii, utapata thawabu.
ReplyDeleteNdugu gari hiyo kwa pesa hiyo umenoa hebu onana na wataalam wa marketing hapa mji wakupe picha du!
ReplyDeletehivi watanzania tuna wazimu gani jamani? ni kwanini maisha tunayaweka juu sana?
ReplyDeletehivi gari hiyo imepitwa miaka zaidi ya 15 bado mtu anauza kwa milioni 8?
hivi hizo hela za tanzania ndio hazina thamani kiasi hicho?
na upande mwingine jamaa muuzaji hana makosa maana ukiangalia hapo kaileta bongo kutoka labda uk au japan kalipia ushuru si chini ya milioni 5 kwa gari kama hiyo
chonde chonde tupunguzieni ushuru na tujengeeni barabara tuweze kuleta magari ili kila mtu awe na lake
Duu nadhani umekosea ulitaka kuandika laki nane na nusu. HIYO GARI IMECHOKA SANA. UKIKAA INATIA UVIVU KUMPATIA MTU LIFT. Hata kama una njaa punguza basi angalau fanya 2.5mill utapata wateja.
ReplyDeleteFuata huo ushauri
Ahh Wadau wa Kwanza na wa Pili hapo juu, ILA KAGARI NI KAZURI SANA KWA KWELI ''RED COLOR'' MADEMU MA MISS WANAVIPENDA HASA KANGEKUWA RISIPOKUWA KWA KUFANYA KAMA KA ZAWADI KA ''VALENTINE'' MWEZI UJAO kum sapraizi mpenzi,,,Jamani kuhonga gharama,kunauma isipokuwa ni kutamu sana,,,HASA KWA NYUMBA NDOGO KANAFWAA AU SIYO?
ReplyDeletemkibosho umenena bei ni kubwa mno na hasa kwa short chases na iyo model yake,hiyo bei yake ni 5.5 tu hiyo unayoongelea ww ni bei ya 5 doors rav 4 tena model ya 1997
ReplyDeletekwa mtoa maoni wa kwanza soma vizuri detals usiripuke.IPia Suala si mwaka bali ubora. Gari laweza kuwa la 2011 lakini mapungufu kibao. Na kama huna pesa kaa kimya au hiyo pesa uliyoweka kanunulie bajaji.
ReplyDeletehuna nyumba ndogo uonge?kwa bei iyo mie nakuletea ya mwaka 1999
ReplyDeleteSiku zote Watanzania tuna tatizo la kufanya mambo yetu pasipo kutafuta ushauri wa wataalamu. Mfano mtu anauziwa plot mabondeni, kwenye hifadhi ya barabara, n.k. na anajenga pasipo kuomba ushauri wa wataalamu. Kwa hiyo huyo bwana msimlaumu sana kuuza hiyo gari kwa bei hiyo. Ni kweli sometimes mwaka inaweza isiwe issue sana, lakini 1995!!!!! km 166336!!!!!!!. Bila shaka na kanjaa kidogo kanamsumbua huyo bwana! Na mteja atapata tu. Kwani ndiyo kawaida yetu kuparamia pasipo kuomba ushauri.
ReplyDeleteWewe uliyeweka Tangazo usibabaike wala nini hiyo gari utauza tu.Magari yenyewe yamepanda bei kama nini.Wananunuzi hawaweki comment humu watakupigia simu.
ReplyDeleteKuhonga kutamu jamani,,,Mwanaume unajisikia Jogoo kwelikweli siku unapompa Kimada Ufunguo!
ReplyDeleteKa gari haka RAV 4 milango mitatu kanafaa kwa kumhonga kimada jamani tena wale shingo nyoro nyoro ma Miss wanavipenda sana wacha cha 1995 hata kingekuwa cha mwaka 1985!.
Ahhh hebu angalieni Wajameni,,,
ReplyDeleteMwanamke amekusumbua saaana ukimtongoza miezi kibao au miaka kadhaa hivi bila mafanikio!
Sasa leo umempeleka Yadi hadi katika mchuma RAV 4, tena katika hati zake (documents)unaweka dole gumba lako ili asione ni ya mwaka 1995!
Mzee Mzima umefungua mfuko wa kaki unatoa Mabunda TISA YA NYEKUNDU NYEKEUNDU,,,UNATOA MABUNDA NANE NA MOJA LILILOBAKI UNAKATA KATIKATI UNACHANGANYA KWENYE NANE UNAMPA KARANI WA YADI...HATA KAMA RAV 4 NI YA 1995 KWA NINI DEMU ASIKUONE MFALME?
Henehehe , ahhh nini watu wanahongwa vocha za shs. 500/=,,,wacha hiyo Rav 4 ya mwaka 1995 Mwanamke ukimhonga hata Guta atakuona Rijali Kamili!
ReplyDeletemdau namba 8 hapa juu wewe vipi?kama unashida ya pesa kakope huko,hii gari toa zawadi kwa vijana wa kijiweni wakalie chipsi huko ,anglao watakuona mtu.
ReplyDeleteHIYO INAITWA FREEDOM OF SPEECH
ReplyDeleteHahahaaaaa nadhani jamaa kadata, apunguze njaa hiyo gari ina umri wa mtoto wangu wa form 5. Kama ni mwanamke kikongwe thamani hiyo hamna hapo.
ReplyDeleteAcheni Masihara,
ReplyDeleteWeeweweeee, Mwanamke umhonge RAV 4 milango mitatu thubutu, bila wasi wasi atakupatia kile utakacho, hata kama unatumia mtandao wa Voda unaweza ukamuomba akupe laini ya tiGo!