Home
Unlabelled
Trouble on the Land
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
baba alikuja hapa 1974, yeye alikuja tanzania akiwa na umri wa miaka 10, watoto karibu wote wa eneo hilo wamezaliwa tanzania. wananchi karibu wote hapo wanaongea kiswahili fasaha na wamesomea tanzania. sasa serikali inashindwaje kuwapatia uraia hawa. wakati mwingine ukarimu si mzuri maana hawa washakita hapo walipo na serikali yetu ilipokuwa inawasaidia hapo zamani haikuona kuwa siku moja watu hawa watadai uraia wetu wa tanzania? kilichobakia ni hawa jamaa wabamize mademu wa kibongo na kuzaa nao au wawaoe ili wapate uraia. UK, USA watu wanafanya saana dili hizi.
ReplyDeletemzungu anatuonea huruma sisi wenye nchi, yani kila ardhi bora anapewa muwekezaji, embu matajiri wote wa tanzania wachangishane kisha waende kama marekani ama wapi waombe kununua sehemu ambayo tayari ni makazi ya watu, sijui viongozi wetu wanatupeleka wapi
ReplyDeletetanzania inatakiwa iangalie raia wake na iwe na uhaki wa binaadamu
ReplyDeleteNdio tutambue kunautofauti gani kati ya Chief Mangungo na viongozi wetu wa sasa. Wanapenda kuweka kila kitu kwenye lugha wasiyoiweza wala kuielewa, sidhani kama ujuha tukiomba iweke mikataba kwa kiswahili maana wakarimani ni wengi sana siku hizi
ReplyDeleteMkataba kurasa 500, lugha haieleweki na 95% ya viongozi wetu ila wanachokipenda ni kuonyesha sahii zao kwenye mikataba. Mzungu ndio anajaza upumbavu wake kwenye kurasa za 200 mpaka 400 maana anauhakika hautosomeka wala kugundulika
ReplyDeleteKama dhumuni la habari hii ni kuwafanya wapate uraia wa Tanzania sikubalini na hilo kabisaaa. Kuzakiwa Tanzania sio sababu, sheria zetu za uhamiaji ziheshimiwe. Wazungu acheni hizooo.
ReplyDeleteWELL!! WELL!! Tanzanians that is your government. Mkono mmoja ni maofisa wa serikali, mkono mwingine ni wanafanya biashara wanaotumia vyeo vyao kujitafutia manufaa binafsi. This is a monopoly game. Sheria ujitungie wewe mchezo ucheze wewe wapi na wapi?? Shame on you so called yourself Tanzanian representative. Wake up Tanzania dont you think this is a right time for CHANGE after all of this nonsense???
ReplyDeleteWE NEED PATRIOTIC LEADERS NOT SCROUNGERS ONES.
Mtanzania asili
Another shady deal involving usual name Idd Simba. We all know that this guy has never ever put interest of our beloved country first but his. He was mentioned on the imported sugar scandal which resulted to his resignation, and indeed the issue concerning the sell-off what was then UDA assets.
ReplyDeleteWhilst I have respect to the Serengeti Advisers Ltd team, I think in my opinion, they are consultancy firm, indeed acting on the benefit of their clients. The conflict of interest on the parties involved is indeed a matter of concern. Mr Eyakuze is both a partner of Serengeti Advisers and CEO and co-founder of AgriSol Energy (T) Ltd. How can he, as a Harvard educated, re-assure Tanzanian like me that we will benefit from this investment if they have acquired the land in question for just TSh. 200 an acre per year in 99 years lease?
AgriSol has once said that it wont withhold supplies to drive prices up, but how on earth a private company can safeguard that this will not happen? History on such sort of promises tells us otherwise.
Mr Eyakuze, Simba and your team, what about us ordinary Tanzanians??
Mapigano, DSM.
Yaani serikali ya Tanzania inauza senti ishirini tano heka moja? Jamani tumekwisha. Na msomi kama Marsha anakubali kuuza ndugu zake wa Kiafrika(Warundi na wabongo) kwa ajili ya tupesa?, nilikuwa namuheshimu sana jamaa lakini sasa heshima kwisha. Yaani bila watu wa Ughaibuni kila kitu kinauzwa hapo hapo bongo bila kujulikana na ni watu wa walio abroad wanaona hayo na kufichua(Watanzania wengi popote walipo wana uchungu na taifa lao-msidanywe). Habari ya rada hivyo vivyo, sijui habari za barabara ya Serengeti, zote zimefichuliwa na jamaa Ughaibuni. Ndio maana viongozi madarakani, wanakataa uraia wa nchi mbili kwani wanajua watafuchuliwa zaidi uhozo wao wanaouficha huko ughaibuni, wanawaambia watu kuwa kuwa raia pacha eti si uzalendo. Sasa waTanzania pimeni.(naomba usibanie Misupu)
ReplyDeleteNaomba wataalamu wanisahihishe kama nimepiga mahesabu vibaya. Hawa "WaBurundi" wanazalisha 40% ya chakula kwa kutumia 4% ya ardhi ya wilaya. Kwa hiyo wangepewa 8% tuu ya ardhi kulima, hakuna tena njaa Kitumba. Isitoshe wanaweza kuwafundisha na kuwawezesha wakulima (WaBongoz) wengine kuwa "productive" kwa hiyo ajira na manufaa mengine (elimu etc) ya kijaami yanapatikana na kwa kutumia mbegu asili badala ya GMO.
ReplyDeleteSasa tunaleta kampuni itakayolima mazao kwa ajili ya biofuels badala ya msosi na itakayotumia mbegu za GMO amabazo zinaweza kuwa na suicide genes (tafsiri yake kwa Kiswahili?)ili zisiote ukizipanda upya. Bila kusahau vijiji vizima vitatimuliwa na kupelekwa ahera kwa umasikini!
Ohhh Tanzania tubadilike jamani. Huu sio ujinga, ni uhalifu.
anon wa thus jan 26,01:1100 pm 2012 hivi umeshindwa kufahamu kiingilishi au vipi? unapinga kupewa hawa watu uraia na unasahau jambo kubwa mno? Watu wachache wameweza kuibabaisha serikali ili itowe urai wa wakimbizi, halafu wawalipe wakimbizi kuishi sehemu mbali mbali za tanzania na mwishowe ardhi yote hiyo wanaiuza kwa kampuni ya kigeni eka moja kwa visenta 50!!!!
ReplyDeleteUmeshindwa kujiuliza imekuwaje aliehusika kutangaza kupewa hawa wakimbizi uraia mara nae amekuwa muajiriwa wa kampuni inayotaka kununua eneo hili? huoni kama hapo pana mushkeli?
Amka ndugu, watu wanatuibia mchana kweupe na wewe unabaki kupinga kumruhusu mtu alieishi nchini tangu 1974 kupewa uraia?
Haya yaleyale waafrika kamwe hatutafika, tunabaguana sisi kwa sisi,halafu tunasema tuungane, hii ni ndoto ya mwendawazimu!!!
ReplyDeleteMimi mwafrika ni rahisi kupata uraia nchi nyine za ulaya kuliko barani Afrika, hii si aibu???
Wenzetu wanaungana EU, America, soon Asia, sisi tumekaa tu na kijiba cha roho kuchukiana, ubaguzi, lakini tunajipendekeza kwa wazungu, tunadharauliana sisi.
Tukumbuke hiyo mipaka iliwekwa tu na wakoloni, na bado hatulitambui hilo.
Upofu huu sijui hadi lini!!