Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mkurugenzi wa Kitengo cha Afrika wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Cuba, Mhe. Balozi Alberto Velazco San Jose,  kabla ya mazungumzo yao ofisini kwake mtaa wa Mgogoni jijini Dar es salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. jamani waziri mpeni chakula amekonda mno.

    ReplyDelete
  2. Pinda mdake huyo jamaa afundishe timu yetu ya ngumi, tunataka ushindi sisi sasa!

    ReplyDelete
  3. Hawa ndiyo marafiki wa kukumbatia. Nchi maskini lakini madaktari wao wako dunia nzima. Sisi wabongo na mabeberu kila siku!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...