Waziri Mkuu Mizengo Pinda  akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya mawaziri na mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini mara baada ya kufungua mkutano wa tatu wa  mazungumzo ya mwaka juu ya  sera ya Taifa ili  kuendelea kuimarisha juhudi za kupunguza umaskini na kukuza uchumi. Mkutano huo wa siku mbili unafanyika katika  Hoteli ya Ubungo plaza jijini Dar es Salaam unahudhuriwa  na wadau mbalimbali wa maendeleo.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda  akiongea na waandishi wa habari kuhusu mkutano wa tatu wa  mazungumzo ya mwaka juu ya  sera ya Taifa ili  kuendelea kuimarisha juhudi za kupunguza umaskini na kukuza uchumi. Mkutano huo wa siku mbili unafanyika katika  Hoteli ya Ubungo plaza jijini Dar es Salaam unahudhuriwa  na wadau mbalimbali wa maendeleo.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda  akiongea na Waziri wa Fedha Mustafa Mkulo mara baada ya kumaliza kufungua  mkutano wa tatu wa  mazungumzo ya mwaka kuhusu sera ya Taifa ili  kuendelea kuimarisha juhudi za kupunguza umaskini na kukuza uchumi. Mkutano huo wa siku mbili unafanyika katika  Hoteli ya Ubungo plaza jijini Dar es Salaam unahudhuriwa  na wadau mbalimbali wa maendeleo.
Waziri wa Elimu  na Mafunzo ya Ufundi Dk.  Shukuru Kawambwa   (kulia) na Naibu Waziri wa Fedha Gregory Theu (kulia) pamoja na mabalozi wakimsikiliza waziri Mkuu Mizengo Pinda  (hayupo pichani) wakati akifungua mkutano wa tatu wa  mazungumzo ya mwaka kuhusu sera ya Taifa. Mkutano huo wa siku mbili unafanyanyika katika  Hoteli ya Ubungo plaza jijini Dar es Salaam unahudhuriwa  na wadau mbalimbali wa maendeleo.
Katibu Mkuu ofisi ya waziri Mkuu Peniel Lyimo  (kushoto) na Naibu Katibu Mkuu Wizaya ya Fedha  Dk. Servacius Likwelile (kulia) wakimsikiliza waziri Mkuu Mizengo Pinda  (hayupo pichani) wakati akifungua mkutano wa tatu wa  mazungumzo ya mwaka kuhusu sera ya Taifa. Mkutano huo wa siku mbili unafanyanyika katika  Hoteli ya Ubungo plaza jijini Dar es Salaam unahudhuriwa  na wadau mbalimbali wa maendeleo.Picha na Anna Nkinda - Maelezo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Nategenmea katika mjadala huo watasema serikali inafuata nini MKUKUTA au Mpango wa maendeleo wa miaka 5 ? Maana Rais naye kajichanganya kwa kusaini mipango yote na kila mtendaji anajigamba kuwa anafuata maelekezo toka juu. Je bajeti ya mwaka ujao na maandiko mbalimbali yanayoenda kuomba fedha yataje mpango upi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...