Wadau waliohudhuria tafrija hiyo wakifurahia na Mhe balozi wa Tanzania nchini Urusi Captain mstaafu Dr Jaka Mwambi (wa tatu kuume) katika mnuzo mdogo wa kujipongeza kupata nondozzz ya PHD ya Chuo Kikuu cha Sokoine University (SUA) cha Mororogo
Wadau wakimsikiliza kwa makini balozi wa tanzania nchini urusi Captain mstaafu Dr Jaka Mwambi wakati akitoa shukurani zake kwa waliompa taffu hadi akafanikiwa kupata nondozzz yake. Hapa alisisitiza kuwa elimu haina mwisho na kwamba kila mtu kwa nafasi yake ajitahidi kuipata bila kujali wadhifa ama umri na kuwa kama akiona vipi ajaribu ujinga
Mama Mwambi akimlisha keki mai hazbendi wake kwa kula nondozzz
Picha ya pamoja katika mnuso huo
hongera sana Captain unaonyesha jinsi ulivyo Captain wa ukweli, waonyeshe viongozi wengine kuwa elimu husotewa sio kupewa kama pipi.
ReplyDeleteYou impress us,
Ombi langu kwako tumia elimu yako na si kuifungia ktk mafaili ya ofisi
Hongera sana!Nenda kufundisha sasa maana hapo alipo utaoza nayo bureee.
ReplyDeleteHongera Captain! usanifu wa Ubalozi wetu Urusi si mchezo! Nzuri sana.
ReplyDeleteJamani, lengo langu sikuchafua hali ya hewa wala kuamsha hisia. Naomba niwajulishe kuwa mimi ni Mhadhiri Mwandamizi hapa SUA na sijawahi kuona mahala popote, yaani Balozi wetu ni mwanafunzi SUA. Hajawahii kurejister wala kugraduate hapa SUA.
ReplyDeleteMheshimiwa hana qualifications za kujiunga na SUA. Acheni uzushi wajameni
ReplyDelete