Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. 'SATERDAY', teh teh teh. Jamani msiharibu lugha za watu, ni 'SATURDAY'

    ReplyDelete
  2. Hizi Charity za kutoa namba ya akaunti bila maelezo

    ReplyDelete
  3. tafadhari, tumia kiingereza sahihi ndugu.

    ReplyDelete
  4. Kweli lugha inatusumbua. Hiyo Saterday ndiyo kitu gani? Kama hatuwezi kiingereza, si tutumie tu kiswahili? Jamani, aibu! hao waliomkaribisha Matonya wanastahili aibu hii. Wanaonekana ni vishoka tu!

    ReplyDelete
  5. wewe uliyoandika Saturday hapo juu ni bonge la mshamba.Tena mshamba kweli maana ulipoona ile Saterday iliyokosewa kimaandishi ukakimbilia upesi kuonesha kuwa ni koso. Kwani hukuona hapo chini walivyoandika sahihi Saturday? Sometimes huwa hakuna haja ya kuvitafuta vijimakosa na vijikasoro visivyokuwa na mpango.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...