Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Ushauri wa bure kwa NHC kwenye tovuti yao;
    kwa miradi ambayo imeshakamilika ingekuwa vyema mkiweka picha za mradi ulivyo badala ya hizi za kuchorwa na wasanifu majengo.

    ReplyDelete
  2. hii NHC ni shirika la umma kweli, hebu niambie watanzania wenzangu, kwa moyo safi wa huruma, ni mtanzania gani au mwananchi gani analipwa laki 3 kwa mwezi tena hadi agome anaweza kununua nyumba hizi?..je shirika lina mkakati gani wa kujengea watu wenye kipato cha chini hadi wale mafisadi..usawa uko wapi ndugu zangu ktk hili. katika vitu muhimu sana ktk maisha ni kumiliki nyumba..sasa kama lengo ni kuwasaidia watu wenye uwezo basi halina maana na tena ikiwezekana mbadilishe na jina lake kabisa...liiteni SHIRIKA LA KUSAIDIA WATU WENYE UWEZO.

    ReplyDelete
  3. Hii nikpi nimewatumai jamaa moja kwa moja, na naiweka hapa. Michuzi, hili tangazo halina kichwa wala miguu, na fomu yao ni kichekesho zaidi:
    ------------
    ningetegemea ni kiswahili kinatumika badala ya kimombo, haya naanza na shida:
    1.Nimeona tangazo la Medeli, mnasema mtu anapata punguzo la asilimia 13, lakini hamjasema lolote kuhus ukubwa wa nyumba hizo.
    2. nimeejaribu kuangalai habari zaidi katika fomu yenu na nikashngaa mnawezaje kutegema mtu ajaze fomu hiyo na kuwapa habari mnauliza! mfano
    a) mnasema mtu aseme ni mradi gani, na 'code' ya mradi wakati habari hizo hakuna.
    b) mnauliza kama mtu amelipa asilimia kumi, lakini sijaona pale popote mmemsema akaunti ya malipo ni ipi na taarifa zipi mtu ataweka. la kushangaza zaidi, hii ni ombi ambalo nyie mnaweza kukaataa, sasa kwa nini mnataka pesa, maan ninavyoelewa, mtu utalipa hiyo deposit kama ndio hivyo umekubaliwa kununua na mnasini mikataba nk..
    c) mnasema, terms and conditions apply, kaini sijaziona hizo terms ili mtu ajue ni mambo gani mtu anajiingiza..
    halafu
    d) mnauliza mtu nyumba gani anataka na idadi ya vyumba, lakjini idadi ya vyumba haijawekwa katika tangazo hilo, na sitegemei kuwa flat zote zina idadi ya vyumba sawa, kwani kama mtu ana familia, atapendela labda vyumba vinne, wakati kapera vyumba viwli au kimoja, poa..na muhimu zaidi, nyie ndio mtoe habari hiyo na sio mununuzi, maana inaonekana labda mtu aende kwa Profesa Vulta wa Magomeni kuulizia habari hizi kabla ya kujaza fomu hii.

    yangu hayo, kuwa, amkeni na kuwa makini kitu gani mnatangaza, kitu gani mnataka muombajo/mnunuzi awape..

    ReplyDelete
  4. mafisaji watanunua, but an ordinary tanzanian cant afford this. all the best!

    ReplyDelete
  5. bei???

    nimeangalia website sijaona pia.

    ReplyDelete
  6. Mbona hamsemi nyumba ziko maeneo gani?
    Hata hivyo nyumba za wenye uwezo,,sio mnawalenga walala hoi!

    ReplyDelete
  7. Sheria za mikopo zipadilishwe, nani anaweza kulipa mamilioni within couple of months? Kwa nini wasiwape watu 20- 30yrs mikopo so you do not have to come-up with a lot of money up front. Zile za Arusha zimekwisha by the time wameweka matangazo kaangalie majina ya wamaliki ndugu wa VIGOGO! THIS IS RUBBISH.

    ReplyDelete
  8. Shirika lilianzishwa kwa lengo la kumpatia mtanzania wa kawaida (mfano mfanyakazi wa serikalini) makazi bora ya kuishi. Kwa sasa malengo hayo hayapo kwa uhalisia WAKE,tujiulize tu ni watanzania wangapi wanaweza kununua nyumba inauzwa kuanzia milioni 70 na kuendelea?? Nafkiri kuna umuhimu wakuanzishwa kwa regulatory authority kama EWURA ili kudhibiti gharama za upangishaji na uuzwaji wa hizi nyumba za NHC,na siyo wajiamulie wanavyopenda wao.Hizi bei wanazojipangia wao zina multiplier effect in the housing market as a whole kwa siku zijazo,nyumba,viwanja,na bei za upangishaji hata kwa watu binafsi zitapanda kwa kasi ya ajabu,kwasababu ya hizi bei za NHC.

    ReplyDelete
  9. Naomba kujulishwa Medeli Residential Apartments ziko eneo gani la nchi yetu, naona mmesahau kutujulisha hilo.

    ReplyDelete
  10. Naunga mkono wasemaji wooote. jengeni nyumba za kawaida jamani watu wanunue tua shida na nyumba uwezo mkubwa hatuna!

    ReplyDelete
  11. Simu Yao yenyewe haipokelewi, sijui changa la macho..??

    ReplyDelete
  12. Kama wasemavyo waliotangulia ni kweli hizi nyumba sisi wafanyakazi wa Tanzania hatuziwezi labda uwe fisadi. Sasa nauliza hawa NHC wanazijenga kwa ajili ya nani? kwa watumishi wa serikali au wafanyabiashara na mafisadi ili wazipangishe kwa wafanyakazi. Mimi kwa ushauri wangu finyu naona ni bora hizi nyuma zikodishe kama zamani ili kila mtu aweze kumudu kulipia kama atazipata. Au basi zipunguzwe bei ili kila raia aweze kumudu kununua.

    ReplyDelete
  13. nadhani hizi nyumba zina wenyewe,mnatangaza wakati tayari mmeshawauzia mnaowajua.

    Hilo tangazo hapo ilitakiwa mtoe maelezo yote nyumba zipo wapi,bei ainz range from what to what,terms zipo zipi n.k, sio mnatoa tangazo lipo hiden,hao watu wenu wa marketing wapo? lugha ndo hiyo ya kimombo,haya wale wasojua lugha ndo basi tena,au ndo hayo mambo ya selective market!! haya

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...