Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi za Jamii (NSSF),Dkt. Ramadhan Dau akiwa katika mazungumzo na Waziri wa Kazi na Ajira,Mh. Gaudencia Kabaka na Mwenyekiti wa Bodi ya NSSF,Ndg. Aboubakar Rajab wakati wa hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa kwa ajili ya Wadau wa NSSF kwenye hoteli ya Mount Meru,jijini Arusha jana usiku.
Home
Unlabelled
Hafla ya Chakula cha Jioni kwa wadau wa NSSF yafana sana
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
hawa ni miongoni mwa watu wa ajabu sana Tanzania hii.Vitambii vikubwa kwa hela za wafanyakazi wa Tanzania.......Wanatumia hela ya wafanyakazi walala hoi kujenga Daraja ka la sanfrancisco in a third world country ambayo hawawezi kulipa madaktari hawana maji kila kijiji hatuna shule,madawati, waaalimu.Daraja la Kigamboni lina manufaa gani kwa Tanzania Wakati daraja la Wami ambalo linaunganisha Dar na mikoa yenye utalii na Kenya magari mawili hayawezi kupishana.......NI MAWAZO TU
ReplyDeletemtoa maoni hapo mwanzo mawazo yako sio sahihi tafakari tena, naona chuki tu zimekujaa
ReplyDeletekabla hawajaangalia uwezekaji gani ni muhimu. lazima uangalia return on investment, kwa sababu lengo la hizo hela ni faida. Dr. dau is one of the smart guy, we as tanzanians must proud of him. Kwa hiyo mdau, lazima uelewe.NSSF kazi yake sio kusaidia wananchi. Ku- invest with return. ahsante.
ReplyDeleteMadu wa kwanza,
ReplyDeleteHuwezi pata tija bila 'Risk taking' yaani kujitoa mhanga!
Huna uelewa wa fedha na Uchumi, una Dira ya Siasa za Jazba!
Hizo hela za Walala hoi ktk mfuko zinawekezwa (ktk miradi kama hilo daraja) ili Mfuko ukue kwa faida ya hao hao wanachama...UPO HAPO?
Sasa kama hayo Mabilioni yatakuwa yanarundikwa Benki yakisubiri wastaafu yatazaa vipi?
Hujui uendeshaji wa Mfuko wenyewe pia una gharama? je unafikiri pesa ya kuwalipa mfano wafanyakazi wa Mfuko inatoka wapi?
ELEWA KUWA TUMIA PESA KUKUZA PESA!