Mitumba Halisi ni blog ya nguo za kuuza kwa ajili ya kina dada na wamama wanaopenda kupendeza. 


Blog hii inakuletea nguo za kisasa za kila aina na za kila rika, Nguo za wadada kwaajili ya ofisini, kutokea usiku na hata kwaajili ya kuwa casual siku za weekend. Kupitia Blog hii utaweza kuziona, kununua na kuagiza nguo popote ulipo Tanzania. KARIBUNI WOTE!!

Tembelea link hii:
www.mitumbahalisi.blogspot.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Mitumba halisi. Vipi kuna mitumba feki siku hizi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...