Home
Unlabelled
Hili Tawi hapa kwanini haliondolewi??
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
May be due to lack of pro-activeness...I wonder whether people around wait for somebody called "goverment" to remove it.
ReplyDeleteungekuta ni gari imepaki hapo ingeshabebwa na break down.. utawala wa jiji bure kabisa
ReplyDeletekama wewe ulielipiga picha hukuliondowa ulitegemea aje mfanyakazi wako wa nyumbani aondowe hili tawi
ReplyDeletepengine zinahitajika fedha za kigeni!
ReplyDeleteMuulize aliyepiga hii picha, kwanini hakuliondoa?
ReplyDeleteMpaka lisababishe ajali haswa iwe ya mkubwa flani kiongozi ndo litaondolewa.
ReplyDeleteNi upuuzi sana kwa sababu kuna mkandarasi analipwa kuhakikisha usafi katika hilo eneo na kushangaza ni kwamba hajui hilo tawi ni uchafu na bahati mbaya zaidi hata wasimamizi wa sheria nao hawajafundishwa shuleni nini maana ya uchafu!
Waje Mwanza au waende Moshi wakajifunze!
Tatizo letu ni kusubiri serikali ifanye kila kitu hawezi mtu kujitolea na kulitoa.
ReplyDeleteunauliza swali? wakuliondoa so wewe une liona. wewe unapendekeza nani aliondoe? lazy lazy usafi wa mazigira ni jukumu la kila mtanzania.
ReplyDeletekwanini wewe usilitoe kama linakukera!?
ReplyDeleteliondolewe wakat hiyo ni kinga ya bihashara ya mdau hapo pembeni!
ReplyDeleteKwani jamani , anayetakiwa kuliondoa hilo gogo ni nani ??, ikiwa wewe umeshapita hapo mara 3 na hilo gogo limekukera sana kiasi hicho, kwa nini usiwe mzalendo, Mtanzania chapa ya ngombe ukaja na pick ya kukodi ukalinyanyua hilo gogo na kulipeleka kwa mama ntilie gerezani au magomeni likapikiwa ubwabwa watu tukala ?? gogo litakuwa (a) limefanya kazi nzuri (b) wewe utapata shukurani kwa kina mama ntilie hao na pia hata kwa aliye juu ataongeza point kwenye matendo yako ya kila siku. ndugu jaribu kujiuliza kwamba je ? nchi umeifanyia nini ?? kuliko , nchi ikufanyie nini. Chimile -Ndonho.
ReplyDeleteHiyo ni sehemu ya ofisi ya jamaa anayefanya biashara hapo ukiligusa anakuvaa. Hii ndo Bongo bwana! Mtu waweza kuchukua hifadhi ya bara bara ukajibinafsisha na hakuna wa kukuzuia hata kidogo. Pita jijini wakazi wake wameweka kabisa hadi minyororo ya kuzuia watu wengine wasipite ama kusimama hapo. Katika baadhi ya baa wanapanga viti hadi barabarani na hakuna wa kumsema
ReplyDeleteshame on you wewe ulieuliza. 2012 dunia yako chaguo lako, chagua kutoitegemea serikali chagua kusaidia serikali kutoa hilo tawi
ReplyDeletejamani tujiulize kwani limetoka wapi hilo tawi, hilo kama alivyosema mdau hapo juu, tawi hilo limeenda kuburirwa tena kwa gharama from somewhere ili liwe ni kinga ya bihashara ya mdau hapo pembeni!
ReplyDeleteNyinyi mwachekesha kweli. Munamlaumu aliyepiga picha! UKIJARIBU KULIBEBA HAPO UTAKAMATWA NA KUAMBIWA UNAIBA MALI ASILI YA NCHI. TENA KAMA UMEPARK GARI HAPO BARABARANI ILI ULIPAKIE GOGO HILO, UNAPEWA NA KOSA LA PILI LA "WRONG PARKING". Jaribu uone.. Utajuuuta!
ReplyDeleteGogo kavu hadi katikati ya Jiji.
ReplyDeleteHao wauza Kadi pembeni ndio wanaweza kuwa nyuma ya mpango huo wa kuliweka gogo ili kusogeza wapita njia wanunuzi!i
Si unajua Fosingi za Wabongo?
Ilikuwa ni makosa kuomba huko Majuu Dar Es Salaam iwe na hadhi ya kuitwa JIJI!
Wote wanaotaka aliyepiga picha hizi aliondoe gogo hilo ni wajinga wa kupitiliza. Kuna watu ambao wanalipwa mishahara kuweka mitaa ya katikati ya jiji safi na wana vifaa vyote vya kufanyia kazi hiyo. Hiyo ni kazi yao na si ya mtu mwingine yeyote. Hivi wajinga hawa washawahi hata mara moja kusafisha viwanja vya jirani zao eti kwa sababu wao wenyewe hawataki kuvisafisha?
ReplyDeletenyote mnamtupia lawama uyo mtu aliye piga picha mkumbuke yy amewakumbusha tuwahusika mana kuna wtu wanakula pesa na iyo ndo kazi ya sasa inakuwaje munasema kma linamkela angetoa mambo ya uzalendo ma imsahada imeshapitwa tayari huu ni muda wa kla mtu kufanya kazi yke kulingana na anachopata
ReplyDeleteHilo gogo liko hapo lilipo for a purpose. Ungewauliza hao jamaa hapo kando.
ReplyDeleteAcheni kejeli. Sasa huyu aliyepiga picha aliondoe hili gogo yeye alipeleke wapi? Kuna wahusika na ndio maana tunalipa kodi. Hizo kodi zetu zinamlipa jamaa mmoja anayetakiwa kuhakikisha hilo gogo limetoka hapo. Ila huyo ambaye anakula kodi zetu na yeye pia yupo mbele ya kompyuta analishangaa hilo gogo kwenye blog ya Michuzi.
ReplyDelete