Home
Unlabelled
Je,bunge letu la sasa hivi limekuwa la kidemocrasia? Daladala tanzania
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
DEMOKRASIA BUNGENI (HAKUNA)...KUKIUKA TARATIBU ZA SHERIA ZA NCHI HADI ZA BUNGE, UDIKTETA NA MIPANGO MIJI NDIO (VILIVYOPO),
ReplyDeleteUshahidi yaliyojiri kuanzia Januari 2012 hadi sasa.
kuna baadhi ya nchi mfano kama korea viwandani kabla ya kuanza kazi huwa wanafanya mazoezi ya kujinyoosha nyoosha, napendekeza hii video hiwe ndiyo mazoezi ya wabunge, kila waingiapo bungeni hizo dakika 12 mazoezi yao hiwe kuangalia hii, nadhani watajua kwamba wanaongoza watanzania tofauti siku hizi.
ReplyDeleteWewe mchangiaji wa kwanza na wa mwisho naona sasa unaweza hata kuingia bungeni kuwatetea wananchi, kumbe kuwa katibu wa bweni kule mzumbe ilikusaidia saana....Bunge ni la wananchi ni la watanzania sio la CCM wala CHADEMA wala CUF wala SERIKALI kwa msingi huo yote yanayofanyika yawe kwa manufaa ya Watanzania na Tanzania akhsante.
ReplyDeleteDemokrasia hakuna labda ya kujiongezea posho na kusahau swala la mgomo wa madaktari.
ReplyDeleteHaya yote ni matunda ya utawala wa awamu ya pili. Mzee Ruksa anafaa kutawazwa rasmi kama ni baba wa demokrasia Tanzania. Pamoja na mema mengi na mapungufu machache aliyokuwa nayo kama mwanadamu mwingine yoyote yule, lakini yeye ndiye aliyeiweka nchi katika barabara inayoelekea kwenye demokrasia.
ReplyDeleteManeno mengi yaliyosemwa na wananchi hawa, wananchi hawahawa wasingethubutu kuyaongea haya katika utawala wa awamu ya kwanza.
Dogo angejikita zaidi kwenye mahesabu, sayansi, na teknolojia, siyo kuendekeza siasa.
ReplyDeleteWabongo mzozo.
ReplyDeletemmenichekesha kweli dogo aende wapi??????????mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhaaaaaaaaaaaaaaaaa lakini kaongea vizuri sana
ReplyDelete