Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali (kulia), Spika Anne Makinda (shoto), Mwenyekiti wa Wabunge wa CCM na Waziri Mkuu Mh Mizengo Pinda, Katibu wa Wabunge wa CCM Mh Jestina Mhagama (wa pili shoto), Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Mh Pius Msekwa (wa tatu kulia) na Katibu Mkuu wa CCM Mh Wilson Mkama kabla ya kuanza na mkutano wa wabunge wa CCM katika ukumbi wa 'White House' makao makuu ya Chama hicho mjini Dodoma usiku huu.
Kwa mapicha zaidi BOFYA HAPA
Kwa mapicha zaidi BOFYA HAPA
Ankal, kwa haraka haraka tu Simba na Azam vipi leo?
ReplyDeleteKATIBA MPYA ITABIDI ITENGANISHE MIHIMILI: HATUWEZI KUENDELEA KUWA NA SPEAKER AMBAYE NI KADA WA CHAMA CHOCHOTE. FIKIRIA, IKISHINDA CCM SPEAKE NI CCM NA SERIKALI NI YA CCM,IKISHINDA CHADEMA SPEAKER NI WA CHADEMA NA SERIKALI NI YA CHADEMA, CUF, HIVYO VIYO, ETC.
ReplyDeleteSASA HAPO BUNGE LITAPATA KWELI NGUVU YA KUIAGIZA SERIKALI VIZURI??. MAKINDA ANAWEZA KWELI KUFANYA KAZI BILA KWANZA KUSIKIA MWENYEKITI WAKE WA CHAMA ANATAKA NINI?
DAVID M