Kutoka kulia ni Mtoto wa Balozi Mdogo nchini Uingereza anaitwa Maya, anaefuata ni Mwakilishi wa UNOPS Siera Leone Ndugu Omary Mjenga, anaefuata ni Mke wa Balozi Mdogo Uingereza, anaefuata ni Balozi mdogo wa Tanzania Nchini Uingereza Mh. Chabaka Kilumanga, na wa mwisho ni Aziz Msuya mtoto wa Balozi wetu Pretoria Afrika ya kusini. Ndugu Mjenga yuko Nchini Uingereza kuhudhuria moja Kikao ambacho kiko ndani ya majukumu yake ya kikazi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. haya kaka omar,mluhila,mla mayao wa box 2,ama kweli box 2 imekujenga,unakumbuka mambo ya TAMSALA enzi zile!!wapi MAPS,TUNYI nk,hakika tumetoka mbali!!go luhila,go box 2

    ReplyDelete
  2. Huyu ni balozi mdogo,au naibu balozi tunaomba tusaidiwe kiswahili hapa na magwiji.

    Kuna utata mwingi sana siku hizi.Mara makamo wa Rais,mara au makamu wa Rais.Sasa sijui tusemeje ili wanaojifunza kiswahili watuelewe!

    Mwandishi akiandika akiwa Zanzibar anasema makmo,akiwa Bara anasema makamu,nimeona hata mdogo wangu Michuzi hivi hivi.Michuzi hivi pale Mbata tulijifunza hivyo kweli!

    ReplyDelete
  3. Balazi mdogo unamaana kuwa ni mtoto mdogo mwenye miaka kama 5 ,yaani akiwa mtu mzima atakuwa balozi.hebu tueleweshe vizuri.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...