Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika Siku ya Sheria nchini Tanzania iliyoadhimishwa leo katika viwanja vya Mahakama kuu jijini Dar es salaam.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia kalenda aliyozawadiwa na Jaji Mkuu Mh. Mohamed Chande Othman baada ya kuhutubia katika Siku ya Sheria Tanzania iliyoadhimishwa leo katika viwanja vya Mahakama kuu jijini Dar es salaam.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika viwanja vya Mahakama kuu jijini Dar es salaam leo na kupokewa na Jaji Mkuu Mh. Mohamed Chande Othman (nyuma yake), Spika Anne Makinda (anayepeana nae mikono) na viongozi wa juu wa Mahakama kabla ya kuhutubia katika Siku ya Sheria Tanzania jijini Dar es salaam leo
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akipokea mapendekezo ya Baraza la Taifa la NGOs Ikulu jijini Dar es salaam leo kuzungumzia mchakato wa Katiba.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikutana na viongozi wa Baraza la Taifa la NGOs Ikulu jijini Dar es salaam leo kuzungumzia mchakato wa Katiba.Picha na IKULU.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Wadau nisaidieni, viongozi hawa wa baraza la taifa la NGOs huchaguliwa na nani? maana kuna ninaowafahamu katika picha hii ambao hawana uwezo wa kuongoza kundi lolote. Isijekuwa ni kama uongozi wa kisiasa!!!

    ReplyDelete
  2. yote tisa wajemeni juwa la bongo na hizo suti mbona kazi ipo nafikiri viongozi wa africa zenye joto kali wangependeza tu mavazi ya nguo za joto hakuna haja kuvaa suti kwenye open place like that.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...