KATIBU MKUU WA WIZARA YA NISHATI NA MADINI, ELIAKIMU CHACHA MASWI AKIPATA MAELEZO YA WATALAAM WA UCHORAJI RAMAJI ZA JIOLOJIA NA UPIMAJI WA SAMPULI MBALIMBALI ZA MAJINI KATIKA MAABARA YA TAASISI HIYO IJULIKANAYO KWA JINA LA GEOLOGICAL SURVEY OF TANZANIA ( GST) ILIYOPO DODOMA MJINI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Mambo ya ArGIS hayo.Tanzania ina "geologists"/Mining engineers wengi kweli wanafanya kazi nje ya nje(Nikiwemo na mimi),serikali iweke 'mazingira mazuri' turudi jamani.

    ReplyDelete
  2. MAzingira mazuri kwako wewe ni yapi!? nani akutengenezee mazingira...acha usiende kujitengenezea subiri utengenezewe! Shame on you na usomi wako! Rudi nyumbani ukajenge nchi yako! Wenzako tunakuja huku kuchukua shule na nyumbani tunarudi kupiga kazi vile vile! Subiri wakutengenezee...hahahaaa...nakusikitikia ndugu yangu! Piga box kama wengine wanaodhani ufahari kupiga box, kutwa kujisifia kupiga box...mabox hayakuanza leo, waulizeni waliopiga box wakachoka sahzi wako wapi? mtarudi tu...!

    Eddy
    Vancouver

    ReplyDelete
  3. Kama mnataka kurudi rudini tu...mazingira mazuri mnataka mtengenezewe na nani? Njooni tuyadai kwa umoja,kwani mbona sie wengine twapambana humu humu?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...