Afisa uhusiano wa Airtel Jane Matinde (kulia) akitoa maelekezo yaliyopo katika fomu ya uthibitisho wa Ushindi kwa mshindi wa shilingi milion 50 wa droo ya pili ya promotion ya Mzuka wa Airtel Bi Hadija Omary Issa kabla ya kusaini fomu hizo Jana katika ofisi za Airtel Makao Makuu . Hadija atakabithiwa pesa zake taslimu katika wiki chache zijazo
Mshindi wa pili wa kitita cha shilingi milioni 50 wa promotion ya Mzuka wa Airtel Bi Hadija Omary Issa (kushoto) akikabidhiwa fomu ya udhibitsho wa malipo ya fedha zake na Afisa Uhusiano wa Kampuni ya Airtel Jane Matinde , baada ya kuibuka mshindi wa pili wa promotion hiyo ambayo inaendelea kwa wateja wa Kampuni ya Airtel Tanzania.Makabidhiano hayo yalifanyika jana katika ofisi kuu ya Airtel Tanzania.
Mshindi wa milioni 50 wa promosheni ya mzuka wa Airtel , Bi Hadija Omary Issa (kushoto) akionyesha fomu ya uthibitisho wa ushindi mara baada ya kusainiwa naye na mwakilishi wa Airtel kama uthibitisho wa ushindi wake wa kitita cha shilingi mlioni 50 anaeshuhudia ni Afisa uhusiano wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania Bi Jane Matinde jana katika ofisi kuu ya Airtel Tanzania Morocco.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...