As salaam alaikum.
Tumeanzisha blog ya kiislam (Ahlu sunnah wal jama'h) Afrika Mashariki. Lengo ni kuungana na kuendeleza/kufufua utamaduni (katika misingi ya kiislam) waliotuachia wazee wetu mashehe wakubwa wakubwa wa Zanzibar, Kenya, Bara, na Afrika mashariki yote kwa ujumla, ambao walikuwa ni chachu ya amani na maendeleo si tu kwa waislam bali kwa nchi zetu zote.
Tafadhali tembelea:
www.twariqah.blogspot.com
Kuwa huru ku-comment, kuuliza n.k. kwa heshima.
(alawiyans.ea@gmail.com)
Shukran.

Hongereni wadau kwa kubuni jambo zuri kwa manufaa ya ummah..maana hiki ni kipindi cha utandawazi watu wengi muda mwingi wapo mtandaoni hivyo mtawapata na kuwapa daawa
ReplyDelete