As salaam alaikum.

Tumeanzisha blog ya kiislam (Ahlu sunnah wal jama'h) Afrika Mashariki. Lengo ni kuungana na kuendeleza/kufufua utamaduni (katika misingi ya kiislam) waliotuachia wazee wetu mashehe wakubwa wakubwa wa Zanzibar, Kenya, Bara, na Afrika mashariki yote kwa ujumla, ambao walikuwa ni chachu ya amani na maendeleo si tu kwa waislam bali kwa nchi zetu zote.

Tafadhali tembelea:
www.twariqah.blogspot.com
Kuwa huru ku-comment, kuuliza n.k. kwa heshima.
(alawiyans.ea@gmail.com)

Shukran.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hongereni wadau kwa kubuni jambo zuri kwa manufaa ya ummah..maana hiki ni kipindi cha utandawazi watu wengi muda mwingi wapo mtandaoni hivyo mtawapata na kuwapa daawa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...