Mkurugenzi wa Masoko wa kampuni ya Miadi,David Kamau akizungumza na washiriki wa semina ya matumizi ya mafuta ya Nywele ya Miadi kwenye uzinduzi uliofanyika kwenye Hoteli ya Peacock jijini Dar Es Salaam Hivi karibuni.kushoto ni Meneja masoko wa Kampuni hiyo,Mariam Boadi.
Meneja masoko wa kampuni ya MIADI,Mariam Boadi (kushoto) akionyesha mafuta ya nywele ya Miadi kwenye uzinduzi na semina kwa wasambazaji na wenye saloon jijini Dar Es Salaam.kulia ni Mtaalam wa matumizi wa dawa hizo,Sammy Mwachofi.
ohoooo wakenya hao wanakuja kufanya biashara kwetu watanzania wanaishia kutukananana kwenye mablogu
ReplyDeleteKushoto Wakenya, kulia wa south africa.....bongo tumeingiliwa.
ReplyDeleteHebu toeni sifa ya haya mafuta na contents zake please. Haya mafuta ya Organic au ndio machemicals mengine. Hebu tumieni mafuta ya nazi muyategeneze vizuri. Nazi kule Lindi na M twara hazina mnunuzi, nyie mnatoa mafuta kutoka USA na kututengenezea mafuta ya ajabu ajabu. Kumbe wanatumia haya mafuta yetu mnanunua kwa bei ghali. As far as I am concerned tunanunua hilo kopo na sio mafuta yenyewe.
ReplyDeleteTunaomba contact
ReplyDeleteKeep your natural hair. You are just beautiful.
ReplyDeleteMtakalia kupauka tu, shauri yenu!
ReplyDeletewaache wazindue tu sisi hata kiduka tu kenya hatuna asilimia 95 supamakert za kenya ni vitu vya ndani wakati bongo asilimia 1 vitu vya ndani tunakwenda wapi bank za bongo hata moja kenya hakuna wao hapa wana kama tatu tutafika wapi tuacha methali za kutangulia si kufika balaa vitu vinazinduliwa kienyeji sijui tunaangamiza bongo
ReplyDeletemafuta ya kenya hayo
tutayapataje, contact zenu please.
ReplyDelete