Mkurugenzi wa Masoko wa kampuni ya Miadi,David Kamau akizungumza na washiriki wa semina ya matumizi ya mafuta ya Nywele ya Miadi kwenye uzinduzi uliofanyika kwenye Hoteli ya Peacock jijini Dar Es Salaam Hivi karibuni.kushoto ni Meneja masoko wa Kampuni hiyo,Mariam Boadi.
Meneja masoko wa kampuni ya MIADI,Mariam Boadi (kushoto) akionyesha mafuta ya nywele ya Miadi kwenye uzinduzi na semina kwa wasambazaji na wenye saloon jijini Dar Es Salaam.kulia ni Mtaalam wa matumizi wa dawa hizo,Sammy Mwachofi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. ohoooo wakenya hao wanakuja kufanya biashara kwetu watanzania wanaishia kutukananana kwenye mablogu

    ReplyDelete
  2. Kushoto Wakenya, kulia wa south africa.....bongo tumeingiliwa.

    ReplyDelete
  3. Hebu toeni sifa ya haya mafuta na contents zake please. Haya mafuta ya Organic au ndio machemicals mengine. Hebu tumieni mafuta ya nazi muyategeneze vizuri. Nazi kule Lindi na M twara hazina mnunuzi, nyie mnatoa mafuta kutoka USA na kututengenezea mafuta ya ajabu ajabu. Kumbe wanatumia haya mafuta yetu mnanunua kwa bei ghali. As far as I am concerned tunanunua hilo kopo na sio mafuta yenyewe.

    ReplyDelete
  4. Tunaomba contact

    ReplyDelete
  5. Keep your natural hair. You are just beautiful.

    ReplyDelete
  6. Mtakalia kupauka tu, shauri yenu!

    ReplyDelete
  7. waache wazindue tu sisi hata kiduka tu kenya hatuna asilimia 95 supamakert za kenya ni vitu vya ndani wakati bongo asilimia 1 vitu vya ndani tunakwenda wapi bank za bongo hata moja kenya hakuna wao hapa wana kama tatu tutafika wapi tuacha methali za kutangulia si kufika balaa vitu vinazinduliwa kienyeji sijui tunaangamiza bongo
    mafuta ya kenya hayo

    ReplyDelete
  8. tutayapataje, contact zenu please.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...