Home
Unlabelled
Matumizi ya Njia Zetu jijini Dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Wamepaki au?
ReplyDeleteMimi sijaona cha ajabu hapo.:Labda niseme barabara zetu nazo zinajengwa na mawakala ambao hawana taaluma; au wanabana matumizi. Hakuna vibao vinavyoonyesha alama za barabarani.Utakuta vibao vingine; vinasema 'Usiingie-No entry; huku vimefungwa na makaratasi;wengine wanapita; wengine wanaogopa.Mfano mzuri ni barabara ya kutokea soko la Kivukoni kuelekea kama Ocean Road hospital; ukipita ukingoni mwa bahari.Alama inasema,NO ENTRY; lakini inapitika,kwani ndio njia pekee tu iliyopo hapo.
ReplyDeletePia sijaelewa maana ya kuweka kibao kule kwenye barabara inayokingana na bahari;eti huruhusiwi kupita baada ya saa kumi na mbili jioni; hivi kweli kuna Logic gani hapa?Kama kuna askari wa usalama/walinzi wapo pale muda wote na Defender; huku watumiaji barabara wanaambiwa wasipite; kulikoni???? Michuzi niwekee hii.