Home
Unlabelled
WAKALA WA VIPIMO WAENDESHA ZOEZI MAALUM LA UKAGUZI WA KUSHTUKIZA KATIKA VITUO MBALIMBALI VYA MAFUTA JIJINI DAR ES SALAAM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Watu kama hawa baada ya kufanya huu uchunguzi wanapewa rushwa, hakuna kitakachofuatiliwa.
ReplyDeleteWametumia pesa za walipa kodi kwa manufaa yao binafsi.
Inatakiwa kuwepo na system inayoeleweka ya kuwezesha kuwawajibisha watu wanaoendesha biashara kinyume cha sheria. Na kama ni kuwachunguza basi wafanye uchunguzi huu mara kwa mara ili kuwafanya hao wafanyabiashara kufikiria mara mbili mbili kabla ya kufanya upuuzi wao.
Akhsante,
Mako.
SAFI SANA WMA.CHONDECHONDE MUWE NA MAZOEZI YA KUSHTUKIZA KM HAYO MARA KWA MARA.WANANCHI TUNAUMIA SANA NA UHUNI UNAOFANYWA NA WAUZA MAFUTA NA SIO SIRI MALALAMIKO MENGI YANAENDA KWA HAO WENYE RANGI YA YANGA.MUWACHUNGUZE VIZURI KWANI WANANCHI TUNAUMIA.
ReplyDeleteILA NAWAPA TAHADHARI MSIWAHUSISHE POLISI HASA KWENYE HATUA ZA AWALI ZA MAZOEZI KAMA HAYA KWANI POLISI WANA NJAA MNO WANAVUJISHA TAARIFA KWA WAHUSIKA NA KUFANYA ZOEZI LISIWE NA MAANA YOTE.
Nawaomba hao jamaa waende na kwenye mabucha ya hapa Dar. nina uhakika asilimia 80 mizani zao zinapunja.
ReplyDeletehawa mimi nawafahamu sana ni ombaomba wakubwa
ReplyDelete