Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera ( wa pili kushoto) akisalimiana na Ofisa wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania ( JWTZ) , Luteni Mwajuma Mwakipesile wa Kambi ya 515 KJ akiongozwa na Kaimu Mkuu wa Kikosi hicho, Meja Julius Makena, wakati alipotembelea kuangalia utekelezaji wa miradi ya maji kupitia awamu ya pili ya mradi wa maji Chalinze.
Meneja Mradi wa Maji wa Chalinze, Mhandisi Jeremiah Akonaay , (kushoto) akitoa ufafanuzi wa kitaalamu wa ujenzi wa matenki ya maji yatakayotumika kusukumwa na mashine kusambaza maji katika Vijiji vitano vya Ngerengere zikiwemo na Kambi tatu za Jeshi mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera ( wapili kulia mwenye suti) juzi ( wa kwanza kulia) ni Mkuu wa Kikosi cha Anga 601 KJ Kizuka, Brigedia Jenerali Joseph Kapwani, ambaye pia ni Base Kamanda wa Vikosi Vilivyopo Ngerengere.
Mkuu wa Kikosi cha Anga 601 KJ Kizuka , Brigedia Jenerali Joseph Kapwani, ambaye pia ni Base Kamanda wa Vikosi Vilivyopo Ngerengere (aliyeinua mikono ) akimweleza jambo Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera ( mwenye suti kulia ) wakati Meneja Mradi wa Maji wa Chalinze,Mhandisi Jeremiah Akonaay , ( kushoto) akisikiliza kwa makini eneo la Ubena Zomozi , yanapojengwa matenki makubwa ya maji yanayayosukumwa na mitambo ya umeme kuekelea Vijiji vitano vya Tarafa ya Ngerengere na kambi tatu za Jeshi,kupitia Mradi wa Maji wa Chalinze.
Meneja Mradi wa Maji wa Chalinze, Mhandisi Jeremiah Akonaay ,(kushoto) akimuonesha Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera ( wapili kulia) kifaa kinachopeleka maji kwenye mitambo kutoka kwenye mto Wami , Chalinze katika kituo cha Mradi wa Maji wa Chalinze.
Baadhi ya mafundi wakiunganisha ndondo katika ujenzi wa tanki kubwa la kuhifadhi maji kwa ajili ya matumizi ya Askari wa JWTZ Kambi ya Kikosi cha Anga Kizuka na familia zao katika Tarafa ya Ngerengere,Wilayani Morogoro, kupitia mradi wa Maji wa Chalinze.Picha na John Nditi wa Globu Ya Jamii.

jamani watanzania wenzangu,mimi ni kijana wa kiTZ na naomba mnisaidie utaratibu wa kupata kazi kupitia utaalamu (mimi ni mhandisi ujenzi).kazi niitakayo ni katika sekta zifuatazo
ReplyDelete1.usalama wa taifa
2.JWTZ
3.PCCB
mojawapo katika hizi...niana hamu sana ya kulitumikia taifa langu kupitia moja ya sekta hizo...kumbuka kuwa nataka kuingia pamoja na vigezo vingine vitakiwavyo lakini nataka kimojawapokiwe taaluma niliyonayo hasa kwa upande wa JWTZ..PCCB na Usalama wa taifa hicho kigezo cha taaluma yangu si cha lazima.nitaomba kwa utaratibu uliopo...
yeyote mwenye kuweza kunisaidia katika hili anipate hapa loptz@yahoo.co.uk
Mdau wa kwanza, nia yako ni njama kwa kutaka kazi katika Mamlaka hizo tatu Usalama,JWTZ na PCCB.
ReplyDeleteMambo makubwa kwa hizo taasisi licha ya Elimu yako ni:
1-Rekodi safi ya Kijamii na Historia isiyo na mikunjo mikunjo,
(uwe hujapatina na makosa ya jinai),(uwe Mtanzania kamili siyo wa mashaka mashaka),(uwe mchapa kazi,mwadilifu, na tabia njema).
2-Umri wako usiwe mkubwa sana.
3-Uwe na Afya isiyo na Walakini.