Home
Unlabelled
JK ATUA DODOMA LEO, AENDESHA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hapo mtoto wa mkulima mh.pinda anafanya matani kwa kumwambia mh.kikwete aaaah nimewapiga chini wale waliokuwa ndio vikwazo kwa madaktari hahahaha hahaha
ReplyDeletemh.kikwete...tena ulifanya jambo la busara sana maana madaktari kugoma ni jambo kubwa sana hahahahaha ilikuwa kasheshe
najisemea tu sina uhakika na mazungumzo yao...lol
Anony wa kwanza hapo juu umenifurahisha sana, lakini mazungumzo yao yaliendelea hivi:
ReplyDeleteJK: Mbona hukumchukulia hatua hizo JAIRO?
PINDA: Kaka yake alimtetea pale ofisini kwako!!!!!!!!!!!!!
Teh teh Teh!!!!!! Hata mimi nakisia tu sina uhakika.
Abiola Jr.