Mjumbe wa halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Meya wa Ilala,Jerry Slaa akihutubia kwenye Kongamano la umoja wa vijana wa CCM Mkoa wa Mjini magharibi kuhusu maadili katika uchaguzi wa kuchagua viongozi wa jumuiya za chama hicho,halfla hiyo ilifanyika katika Ofisi kuu ya CCM Mjini Magharibi Zanzibar jana.
Mjumbe wa halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi na Meya wa Ilala,Jerry Slaa (kulia) akimkabidhi cheti cha Shukrani katika kutumikia Chama,Katibu wa UVCCM wa Wilaya ya Mjini Unguja, Mohamed Ali Khalfani wakati wa ufunguzi wa Kongamano la umoja wa vijana wa CCM Mkoa wa Mjini magharibi kuhusu maadili katika uchaguzi wa kuchagua viongozi wa jumuiya za chama hicho,hafla hiyo ilifanyika katika Ofisi kuu ya CCM Mjini Magharibi Zanzibar jana.
Mwenyekiti wa UVCCM wa Wilaya ya Mjini Unguja, Omary Justas Morris akihutubia kwenye Kongamano la Umoja wa vijana wa CCM Mkoa wa Mjini Magharibi kuhusu maadili katika uchaguzi wa kuchagua viongozi wa jumuiya za chama hicho,halfla hiyo ilifanyika katika Ofisi kuu ya CCM Mjini Magharibi Zanzibar jana.Katikati ni Mjumbe wa halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi na Meya wa Ilala,Jerry Slaa na Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Mjini Magharibi,Tauhida Cassian Galos.
Mjumbe wa halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi na Meya wa Ilala,Jerry Slaa (kushoto),Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Mjini Magharibi,Tauhida Cassian Galos (katikati) na Mjumbe wa halmashauri kuu,Hamadi Yusufu Masauni, wakipiga makofi wakati wa ufunguzi wa Kongamano la umoja wa vijana wa CCM Mkoa wa Mjini magharibi kuhusu maadili katika uchaguzi wa kuchagua viongozi wa jumuiya za chama hicho,halfla hiyo ilifanyika katika Ofisi kuu ya CCM Mjini Magharibi Zanzibar jana.
Wanachama wa umoja wa vijana (UVCCM) wakimtunza Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Mjini Magharibi,Tauhida Cassian Galos (katikati) baada ya Mjumbe wa halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi na Meya wa Ilala,Jerry Slaa (hayupo pichani) kufungua rasmi Kongamano la umoja wa vijana wa CCM Mkoa wa Mjini magharibi kuhusu maadili katika uchaguzi wa kuchagua viongozi wa jumuiya za chama hicho,halfla hiyo ilifanyika katika Ofisi kuu ya CCM Mjini Magharibi Zanzibar jana.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Midladjy MaezFebruary 28, 2012

    Mdau alieytuma habari picha ubini wa Meya wetu wa Ilala ni SILAA sio Slaa nilimuuliza siku moja kama ana udugu na Dr Wilbroad Slaa KM -CDMA ndio akanipa sahihisho hilo 'live'! Ni SILAA sio SLAA..!

    ReplyDelete
  2. Nice Jerry, tunapenda kuona vijana mkiendesha kongamano za vijana, ninyi wenyewe. Siyo kuwaachia wazee waje kuwahutubia wakati mnajua mnachofanya...Big up bro

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...