Hebu wape wadau vitu vilivyotulia na kukamilika ktk safu zote za bendi ya Nuta Jazz band, yaani vyombo vyote kuanzia magitaa, saxa, tarumbeta, ngoma, sauti na bila kusahau ujumbe mzito - MDAU

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Ohhh zamani kulikuwa kutamu:


    Eeee mama eeeh mama eeeh mama nipeleke kwa baba!

    Visa ulivyonitendea mama yangu mbele za Mungu huna sheria!

    Eeee mama eeeh mama eeeh mama nipeleke kwa baba!

    Hata ni makande kwa kachumbari nitakula bora nikiwa kwa baba yangu!

    Eeee mama eeeh mama eeeh mama nipeleke kwa baba!

    ReplyDelete
  2. Sio mchezo, dakika tano tu nasinzia kwa ladha ya music.

    ReplyDelete
  3. Mdau Anonymous wa Tue Feb 28 08:32:00 AM 2012

    UMEPATIA LAKINI NAREKEBISHA KODOGO.

    HAPO SEHEMU HIYO NI:
    ----------------------------------

    Hata nikila makande kwa kachumbari bora nikiwa kwa baba yangu!

    Eeee mama eeeh mama eeeh mama nipeleke kwa baba!
    -----------------------------------

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...