Jumuiya ya watanzania nchini Ugiriki inasikitika kutangaza kifo cha Mtanzania mwenzetu HAROUN ABDALLAH OTHMAN (Maarufu kwa jina la JAMHURI)kilichotokea hospitali ya Nikeas Piraeus J'mosi 18/2/2012.
Marehemu kabla ya kuwasili ugiriki alikuwa ni mkaazi wa Kikwajuni Zanzibar. Hivi sasa tupo katika harakati za michango ya kutuwezesha kumsafirisha nyumbani.
Mwenyezi Mungu amlaze mahala pema peponi Amin.
INNA LILLAH WAINNA ILAIH RAAJIUUN
Kayu Ligopora
KATIBU MKUU
Jumuiya ya watanzania Ugiriki
Inna Lillah Wa Inna Illah Rajioun
ReplyDeleteHakika sisi kwake ni marejeo Inshallah Mwenyezimungu amuweke mahala pema peponi. yeye ametangulia na sisi tunafuatia. na Inshallah Mwenyezimungu awape moyo wa subira familia ya marehemu katika kipindi hiki kigumu.namkumbuka marehemu tulikua pamoja piraeus mwanzo wa miaka ya 80.
mdau Leicester UK.
Mwenye enzi Mungu amlaze mahali pema peponi Amin. Atupe subira.
ReplyDeleteMama Dida
Inna lillahi wainna ilayhi rajiuin,Mungu amlaze mahala pema peponi,Poleni wana Jumuiya kazi ya Mungu..
ReplyDeleteMdau UK