Mgeni Rasmi katika Ufunguzi wa Mkutano wa pili wa Wadau wa NSSF,Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar,Balozi Seif Ali Iddi (wa pili kushoto) akipeana mkono na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii,Dkt. Ramadhan Dau mara baada ya Waziri wa Kazi na Ajira,Mh. Gaudencia Kabaka (wa tatu kulia) kumkabidhi zawadi ya picha wakati wa hafla ya utoaji tuzo mbali mbali kwa Wadau wa NSSF waliofanikiwa kufuata taratibu za Shirika hilo kwa kipindi cha mwaka 2011.Wengine ni Naibu Waziri wa Kazi na Ajira,Mh. Makongoro Mahanga na Kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya NSSF,Aboubakar Rajab.Shughuli hii imefanyika mchana wa leo kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,jijini Arusha.
Mgeni Rasmi katika Ufunguzi wa Mkutano wa pili wa Wadau wa NSSF,Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar,Balozi Seif Ali Iddi (wa tatu Kulia),akikabidhi tuzo kwa Muwakilishi wa Bulyanhulu Gold Mine,Joel Uswege (wa pili kushoto) ikiwa ni kampuni inayoongoza kwa kutoa michango ambayo inatoa mpaka Bilioni 1 kwa mwezi,wakati wa hafla ya utoaji tuzo mbali mbali kwa Wadau wa NSSF waliofanya vizuri kwa kipindi cha mwaka 2011,iliyofanyika mchana wa leo kwenye ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.
Mgeni Rasmi katika Ufunguzi wa Mkutano wa pili wa Wadau wa NSSF,Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar,Balozi Seif Ali Iddi (wa tatu Kulia),akikabidhi tuzo kwa Muwakilishi wa Geita Gold Mine,Philemon Tano (kushoto) wakati wa hafla ya utoaji tuzo mbali mbali kwa Wadau wa NSSF waliofanya vizuri kwa kipindi cha mwaka 2011,iliyofanyika mchana wa leo kwenye ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.
Mgeni Rasmi katika Ufunguzi wa Mkutano wa pili wa Wadau wa NSSF,Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar,Balozi Seif Ali Iddi (wa tatu Kulia),akikabidhi tuzo kwa Muwakilishi wa Kilombero Suger LTD,Bw. Mwangosi (kushoto) wakati wa hafla ya utoaji tuzo mbali mbali kwa Wadau wa NSSF waliofanya vizuri kwa kipindi cha mwaka 2011,iliyofanyika mchana wa leo kwenye ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.
Mgeni Rasmi katika Ufunguzi wa Mkutano wa pili wa Wadau wa NSSF,Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar,Balozi Seif Ali Iddi (wa tatu Kulia),akikabidhi tuzo kwa Mama Elizabeth Kamulindwa (kushoto) ambaye ni Mwanachama wa Hiari wa NSSF wakati wa hafla ya utoaji tuzo mbali mbali kwa Wadau wa NSSF waliofanya vizuri kwa kipindi cha mwaka 2011,iliyofanyika mchana wa leo kwenye ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.


BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Ankal, naomba kuchukua nafasi hii kuipongeza NSSF kwa kuwa rated na International Association of Social Security Funds kuwa mfuko bora wa aina hiyo Afrika nzima na kushika namba ya 18 dunia nzima. Hongera maalum ziwaendee Dr Ramadhani Dau na Mwenyekiti wa Bodi ya NSSF Nd Abubakar Rajabu kwa uongozi wao wa daraja la kwanza. Pia nawapongeza wafanyakazi wote wa NSSF kwa umakini wa uchapakazi wao. Nimefurahi kuona hapa Arusha wamekuja wajumbe wengi kutoka nchi za Kiafrika ili kujifunza kutoka kwa "model institution" ya Afrika nzima. Hili ni jambo la kujioenea fahari Tanzania nzima. Nasema tu kama kungelikuwa na viongozi 200 tu Tanzania kama R Dau (PHD) na wenyeviti wa bodi 50 tu kama ndugu A Rajabu, basi sasa hivi tungelikuwa mbali sana kimaendeleo. Fly NSSF...the sky is the limit!

    ReplyDelete
  2. Tangu Dr Dau awe Mkurugenzi Mkuu wa nssf, mfuko huu umezipita hata mifuko ya security funds kongwe zaidi hapa nchini. The guy is a real leader: a man of integrity and diligence. Mungu mbariki Dr Dau, Mungu ibariki na iongezee mafanikio nssf. Amin.

    ReplyDelete
  3. Nakubaliana 100% na wachangiaji wawili waliotoa mawazo kwanza hapa juu. Napendekeza kuwa mashirika mengine na asasi za umma Tanzania ziige mfano wa NSSF ili kuchangia katika kuiletea nchi yetu maendeleo. Big up Dr Dau, bodi na wafanyakazi wote wa NSSF! Tanzania tukithubutu tunaweza!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  4. Nssf wanafanya kazi nzuri hongera

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...