Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akiwapungia mkono watoto walioshiriki katika maadhimisho ya miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar,wakati alipowaalika chakula cha mchana katika ukumbi wa Salama Bwawani Hoteli jana,(kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Mwinyihaji Makame,na Waziri wa Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais Mhe.Mohamed Aboud Mohamed.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Walimu wa Halaiki katika viwanja vya ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Zanzibar jana, wakati alipowaalika watoto walioshiriki katika maadhimisho ya miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar, katika chakula cha mchana.
Kwanini MAKAMO badala ya MAKAMU!
ReplyDeleteKUNA NINI KATIKA LUGHA YETU HAPA.Au mipaka ndo inafanya utofauti au tunaheshimu lugha iliyozoeleka!