TAREHE
SIKU/SAA
TUKIO
MAHALI
28-29/1/2012

Jumamosi-Jumapili
Wabunge kuelekea Dodoma.
Kutoka Dar -es- Salaam na sehemu mbalimbali
30/1/2012
Jumatatu
Saa 4.00 Asubuhi
Kikao cha Briefing cha Wabunge wote.
Ukumbi wa Pius Msekwa
Saa 10.00 Jioni
Vikao vya Kamati za Vyama vya Siasa.
Kumbi za Kamati
31/1/2012


Jumanne


·         Kipindi cha Maswali ya Bunge.
·         Miswada ya Sheria ya Serikali (Kusomwa kwa Mara ya Kwanza):
Muswada wa Sheria ya Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania wa Mwaka 2011[The Tanzania Livestock Research Institute Act, 2011].
·          Miswada ya Sheria ya Serikali (Kusomwa kwa Mara ya Kwanza na Hatua zake zote):
(i)                 Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali wa Mwaka 2011 [The Written Laws (Miscellaneous Amendments) No.2 Act, 2011].

(ii)                Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Kudhibiti Matumizi ya Fedha Haramu wa Mwaka 2012 [The Anti-Money Laundering (Amendments) Bill, 2012].

(v)     Muswada wa Sheria ya Marekebisho  
         ya Sheria ya Mabadiliko ya Katiba wa  
         Mwaka 2011 (The Constitutional    
         Review (Amendments Bill, 2011).

·         Kusitisha Shughuli za Bunge ili kutoa nafasi kwa Kamati za Bunge kukutana kwa ajili ya uchambuzi wa Miswada.
1/2/2012
Jumatano
·         Kipindi cha Maswali ya Bunge.
·         Muswada ya Sheria ya Serikali (Kusomwa kwa Mara ya Kwanza):
The Social Security Laws (Amendments) Act, 2012 (No.2)

·         Azimio la kuridhia Mkataba wa Vijana wa mwaka 2006.
·         Azimio la Kuwasilisha Hati ya Sheria ya Ushuru wa Bidhaa Sura 147.
2/2/2012


Alhamisi


·         Kipindi cha Maswali ya Waziri Mkuu.
·         Kipindi cha Maswali ya Kawaida.
·         Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali wa Mwaka 2011 [The Written Laws (Miscellaneous Amendments) No.2 Act, 2011].
3/2/2012
Ijumaa
·         Kipindi cha Maswali ya Bunge.
·         Taarifa za Serikali kuwasilishwa Mezani[1].
·         The Anti Money Laundering (Amendments) Act, 2012.
4-5/2/2012
Jumamosi  - Jumapili
MAPUMZIKO
6/2/2012
Jumatatu
·         Kipindi cha Maswali ya Bunge.[2]
·         Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Mabadiliko ya Katiba wa Mwaka 2011 (The Constitutional Review (Amendments Bill, 2011).
7/2/2012

Jumanne

·         Kipindi cha Maswali ya Bunge.
TAARIFA ZA KAMATI:
·        Maoni ya Kamati ya Nishati na Madini kuhusu Taarifa ya Serikali ya Utekelezaji wa Maazimio ya Bunge yalitokana na Taarifa ya Kamati ya Nishati na Madini kuhusu uendeshaji wa sekta ndogo ya gesi nchini.
·         Maoni kuhusu Taarifa ya Serikali ya Utekelezaji wa Maazimio ya Bunge yaliyotokana na Taarifa ya Kamati Teule ya Bunge iliyoundwa kuchunguza uhalali wa utaratibu wa Wizara ya Nishati na Madini kuchangisha fedha kwa ajili ya kupitisha bajeti Bungeni.
8/2/2012
Jumatano
·         Kipindi cha Maswali ya Bunge.
·         Taarifa ya Serikali kuhusu Hali ya Uchumi.


Alhamisi


·         Kipindi cha Maswali kwa Waziri Mkuu.
·        Kipindi cha Maswali ya Kawaida.
·        Hoja Binafsi za Wabunge.
10/2/2012
Ijumaa
·        Kipindi cha Maswali ya Bunge.
·        Hoja Binafsi za Wabunge.
·        HOJA YA KUAHIRISHA BUNGE.

[1] Tarehe 3/2/2012 Serikali itawasilisha Mezani Taarifa za Utekelezaji wa Maazimio ya Bunge yaliyopitishwa katika Mkutano wa Tano wa Bunge ili taarifa hizo ziweze kufanyiwa uchambuzi na Kamati husika.
[2] Shughuli za Bunge zitaahirishwa kufuatia muandamo wa mwezi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Not bad for 2 weeks at Tsh200,000 and doing nothing but to sign off already approved bills. Come on Tanzania - Wake up!! UK etc hawana hela za kutusaidia nao wana matatizo yao! Aid is wrong and should be abolished, maana zinatafunwa na wabunge wetu.

    ReplyDelete
  2. Kwahiyo hapo kila mbunge ataondoka na zaidi ya milioni 3 za posho kwa kuhudhuria bunge kwa siku 10 na kuondoka na bila muafaka wowote huh?

    ReplyDelete
  3. Kwa jinsi ratiba ilivyo na waheshimiwa wanavyoonekana, utadhani wako serious kumbe ni comedy tupu. Kuna haja gani ya wao kukutana Dom na kusaga mabilioni yetu huku mmoja akiuliza maswali ambayo tayari alishampa mwingine ayatafutie majibu miezi kadhaa iliyopita? Huu sio wizi ama usanii mwingine wa serikali hii?

    ReplyDelete
  4. msitudanganye uliza wabunge wa uingereza wanapata kiasi per session

    ReplyDelete
  5. baba kaja na swali mama kaja naa jibu hili niulizwe swali---mpoto

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...