TAREHE | SIKU/SAA | TUKIO | MAHALI |
28-29/1/2012 | Jumamosi-Jumapili | Wabunge kuelekea Dodoma. | Kutoka Dar -es- Salaam na sehemu mbalimbali |
30/1/2012 | Jumatatu Saa 4.00 Asubuhi | Kikao cha Briefing cha Wabunge wote. | Ukumbi wa Pius Msekwa |
Saa 10.00 Jioni | Vikao vya Kamati za Vyama vya Siasa. | Kumbi za Kamati | |
31/1/2012 | Jumanne | · Kipindi cha Maswali ya Bunge. · Miswada ya Sheria ya Serikali (Kusomwa kwa Mara ya Kwanza): Muswada wa Sheria ya Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania wa Mwaka 2011[The Tanzania Livestock Research Institute Act, 2011]. · Miswada ya Sheria ya Serikali (Kusomwa kwa Mara ya Kwanza na Hatua zake zote): (i) Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali wa Mwaka 2011 [The Written Laws (Miscellaneous Amendments) No.2 Act, 2011]. (ii) Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Kudhibiti Matumizi ya Fedha Haramu wa Mwaka 2012 [The Anti-Money Laundering (Amendments) Bill, 2012]. (v) Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Mabadiliko ya Katiba wa Mwaka 2011 (The Constitutional Review (Amendments Bill, 2011). · Kusitisha Shughuli za Bunge ili kutoa nafasi kwa Kamati za Bunge kukutana kwa ajili ya uchambuzi wa Miswada. | |
1/2/2012 | Jumatano | · Kipindi cha Maswali ya Bunge. · Muswada ya Sheria ya Serikali (Kusomwa kwa Mara ya Kwanza): The Social Security Laws (Amendments) Act, 2012 (No.2) · Azimio la kuridhia Mkataba wa Vijana wa mwaka 2006. · Azimio la Kuwasilisha Hati ya Sheria ya Ushuru wa Bidhaa Sura 147. | |
2/2/2012 | Alhamisi | · Kipindi cha Maswali ya Waziri Mkuu. · Kipindi cha Maswali ya Kawaida. · Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali wa Mwaka 2011 [The Written Laws (Miscellaneous Amendments) No.2 Act, 2011]. | |
3/2/2012 | Ijumaa | · Kipindi cha Maswali ya Bunge. · The Anti Money Laundering (Amendments) Act, 2012. | |
4-5/2/2012 | Jumamosi - Jumapili | MAPUMZIKO | |
6/2/2012 | Jumatatu | · Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Mabadiliko ya Katiba wa Mwaka 2011 (The Constitutional Review (Amendments Bill, 2011). | |
7/2/2012 | Jumanne | · Kipindi cha Maswali ya Bunge. TAARIFA ZA KAMATI: · Maoni ya Kamati ya Nishati na Madini kuhusu Taarifa ya Serikali ya Utekelezaji wa Maazimio ya Bunge yalitokana na Taarifa ya Kamati ya Nishati na Madini kuhusu uendeshaji wa sekta ndogo ya gesi nchini. · Maoni kuhusu Taarifa ya Serikali ya Utekelezaji wa Maazimio ya Bunge yaliyotokana na Taarifa ya Kamati Teule ya Bunge iliyoundwa kuchunguza uhalali wa utaratibu wa Wizara ya Nishati na Madini kuchangisha fedha kwa ajili ya kupitisha bajeti Bungeni. | |
8/2/2012 | Jumatano | · Kipindi cha Maswali ya Bunge. · Taarifa ya Serikali kuhusu Hali ya Uchumi. | |
| Alhamisi | · Kipindi cha Maswali kwa Waziri Mkuu. · Kipindi cha Maswali ya Kawaida. · Hoja Binafsi za Wabunge. | |
10/2/2012 | Ijumaa | · Kipindi cha Maswali ya Bunge. · Hoja Binafsi za Wabunge. · HOJA YA KUAHIRISHA BUNGE. |
Home
Unlabelled
RATIBA YA MKUTANO WA SITA WA BUNGE TAREHE 31/1/2012-10/2/2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Not bad for 2 weeks at Tsh200,000 and doing nothing but to sign off already approved bills. Come on Tanzania - Wake up!! UK etc hawana hela za kutusaidia nao wana matatizo yao! Aid is wrong and should be abolished, maana zinatafunwa na wabunge wetu.
ReplyDeleteKwahiyo hapo kila mbunge ataondoka na zaidi ya milioni 3 za posho kwa kuhudhuria bunge kwa siku 10 na kuondoka na bila muafaka wowote huh?
ReplyDeleteKwa jinsi ratiba ilivyo na waheshimiwa wanavyoonekana, utadhani wako serious kumbe ni comedy tupu. Kuna haja gani ya wao kukutana Dom na kusaga mabilioni yetu huku mmoja akiuliza maswali ambayo tayari alishampa mwingine ayatafutie majibu miezi kadhaa iliyopita? Huu sio wizi ama usanii mwingine wa serikali hii?
ReplyDeletemsitudanganye uliza wabunge wa uingereza wanapata kiasi per session
ReplyDeletebaba kaja na swali mama kaja naa jibu hili niulizwe swali---mpoto
ReplyDelete