Juu na chini ni mashabiki wa timu ya jkt Ruvu wakishangilia kwa furaha mara baada ya kuwafunga watani wao wa JKT Oljoro bao 1-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha Jumamosi 

Wachezaji wa timu ya jkt Ruvu wakitoka uwanjani  kwa furaha mara baada ya kuwafunga goli moja watani wao JKT OLjoro. Picha na Woinde Shizza

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hao oljoro ilikuwa nguvu ya pepsi gas ishaisha haina makali tena maana kila timu inajipigia imekuwa km togwa la mkoleni kila mtu akija anachotea waangalie wasije shuka daraja maana Villa na Coast wanakuja kwa kasi round hii ya pil.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...