Juu na chini ni mashabiki wa timu ya jkt Ruvu wakishangilia kwa furaha mara baada ya kuwafunga watani wao wa JKT Oljoro bao 1-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha Jumamosi
Wachezaji wa timu ya jkt Ruvu wakitoka uwanjani kwa furaha mara baada ya kuwafunga goli moja watani wao JKT OLjoro. Picha na Woinde Shizza
Hao oljoro ilikuwa nguvu ya pepsi gas ishaisha haina makali tena maana kila timu inajipigia imekuwa km togwa la mkoleni kila mtu akija anachotea waangalie wasije shuka daraja maana Villa na Coast wanakuja kwa kasi round hii ya pil.
ReplyDelete