Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. mama makinda unatufunga kamba watanzania kama ubunge ni sehemu ya umaskini wa kutupa jiuzulu uendeshe mkokoteni uone kama kweli hapo wewe ni maskini. maskini wakati hapo pembeni limepaki shangingi .. hivi unajua umaskini au unausikia ? acha hizo wewe ..

    ReplyDelete
  2. bro michuzi mbona sijasikia vizuri hii clip sauti haina hata nimekwenda youtube yale yale au jamani ndo mimi computer yangu

    ReplyDelete
  3. Please Mama Makinda, can you tell me on why there are many Drs and Professors in Parliament. It is way of getting paid lots of monies without doing any work. Please usidanganye hao watu wa Njombe. Angalia list ya 2010 MP aspirants uone jinsi kila kigogo alivyotaka kuwa Mbuge. There is a lot of monies at stake. MPS have monies.

    ReplyDelete
  4. acha kudangaya wanachi namna hiyo, it is a very sad story.

    ReplyDelete
  5. Na flats ulizonazo mikochen?,acha hizo ww kudanganya ndugu zangu.

    ReplyDelete
  6. Nilidhani ni kakobe, kumbe makinda. Haya bana

    ReplyDelete
  7. wachaga na uongozi wapi na wapi kama sio wizi

    ReplyDelete
  8. Bora..

    David V

    ReplyDelete
  9. Bora..

    David V

    ReplyDelete
  10. Unaongea kiingereza, una uhakika wananchi wanakuelewa?

    Kwani uligombea ubunge ili ukatuwakilishe au ukatajirike? Naona unalalamika bunge ni umasikini wa kutupa na wabunge ni "a very frustrated goup," ungetuambia lengo lako mwanzoni kabisa tusingekuchagua, hivyo ulitudanganya.

    ReplyDelete
  11. MAMA UKIONA UNATUMIA NGUVU KWAELEWESHA WATU UNACHOKIITA UKWELI UJUE HUIO UKWELI UNA WALAKINI.UKWELI HAUHITAJI NGUVU NYINGI ZA KUONGEA HADI UNALOANISHA WATU KWA MATE ILI UELEWEKE.WATU WANAACHA KAZI ZA MAANA WANAKIMBILIA UBUNGE HALAFU UNASEMA KUNA UMASIKINI WA KUTUPWA?ONDOKA TU MAMA MIAKA 17 HUJAFANYA LOLOTE LA MAANA KWA WATU WAKO

    ReplyDelete
  12. ahhhhh,,,kweli sisi wajinga ndo tunaoliwa. Eti mama anaenda kijijini anasema bungeni kuna umasikini wa kutupa... hizi ni kejeli, kwahiyo mama ulifuata umasikini???

    mama be honest, unawadanganya watu wako.. I guess the word rich is relative to everybody

    ReplyDelete
  13. Yale yale ya SIZITAKI MBICHI HIZI!

    ReplyDelete
  14. Janja weye,,,kwisa jua iko gumu 2015!

    ReplyDelete
  15. Mama amemaliza kipindi vibaya sana, ametoa makucha yake. Anaongea uongo tena kipindi cha Kwaresma. Umejishusha hadhi sana. Umekuwa mjanja kujitoa kwa vile ni wazi usingechaguliwa mwaka huu. Huna upendo wa dhati, na uspika umekufanya ujioneshe dhahiri wewe ni nani!!! Angalia hayo maaoni yote hapo juu, hakuna hata mmoja anayekubaliana nawe. Elewa sasa watanzania wa kudanganywa hawapo tena. Hongera kwa kusoma nyakati na kuamua kujitoa. Ushauri wangu, ondoka kimya kimya. Huo mjadala unaotaka kuuanzisha sasa hivi unazidi kukushushia hadhi. Pia mwogope Mungu! Bungeni hakuan fedha!!! Nani kasema, wafanya biashara maarufu wana kila kitu bado wanafanya kila njia wawepo hapo! Nakumbuka jirani yang Daktari Bingwa wa watoto naye alijaribu bahati yake, ili kukimbia posho za udaktari za 10,000!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...