Home
Unlabelled
spika anne makinda kutogombea tena ubunge wa njombe kusini
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mama makinda unatufunga kamba watanzania kama ubunge ni sehemu ya umaskini wa kutupa jiuzulu uendeshe mkokoteni uone kama kweli hapo wewe ni maskini. maskini wakati hapo pembeni limepaki shangingi .. hivi unajua umaskini au unausikia ? acha hizo wewe ..
ReplyDeletebro michuzi mbona sijasikia vizuri hii clip sauti haina hata nimekwenda youtube yale yale au jamani ndo mimi computer yangu
ReplyDeletePlease Mama Makinda, can you tell me on why there are many Drs and Professors in Parliament. It is way of getting paid lots of monies without doing any work. Please usidanganye hao watu wa Njombe. Angalia list ya 2010 MP aspirants uone jinsi kila kigogo alivyotaka kuwa Mbuge. There is a lot of monies at stake. MPS have monies.
ReplyDeleteacha kudangaya wanachi namna hiyo, it is a very sad story.
ReplyDeleteNa flats ulizonazo mikochen?,acha hizo ww kudanganya ndugu zangu.
ReplyDeleteNilidhani ni kakobe, kumbe makinda. Haya bana
ReplyDeletewachaga na uongozi wapi na wapi kama sio wizi
ReplyDeleteBora..
ReplyDeleteDavid V
Bora..
ReplyDeleteDavid V
Unaongea kiingereza, una uhakika wananchi wanakuelewa?
ReplyDeleteKwani uligombea ubunge ili ukatuwakilishe au ukatajirike? Naona unalalamika bunge ni umasikini wa kutupa na wabunge ni "a very frustrated goup," ungetuambia lengo lako mwanzoni kabisa tusingekuchagua, hivyo ulitudanganya.
MAMA UKIONA UNATUMIA NGUVU KWAELEWESHA WATU UNACHOKIITA UKWELI UJUE HUIO UKWELI UNA WALAKINI.UKWELI HAUHITAJI NGUVU NYINGI ZA KUONGEA HADI UNALOANISHA WATU KWA MATE ILI UELEWEKE.WATU WANAACHA KAZI ZA MAANA WANAKIMBILIA UBUNGE HALAFU UNASEMA KUNA UMASIKINI WA KUTUPWA?ONDOKA TU MAMA MIAKA 17 HUJAFANYA LOLOTE LA MAANA KWA WATU WAKO
ReplyDeleteahhhhh,,,kweli sisi wajinga ndo tunaoliwa. Eti mama anaenda kijijini anasema bungeni kuna umasikini wa kutupa... hizi ni kejeli, kwahiyo mama ulifuata umasikini???
ReplyDeletemama be honest, unawadanganya watu wako.. I guess the word rich is relative to everybody
Yale yale ya SIZITAKI MBICHI HIZI!
ReplyDeleteJanja weye,,,kwisa jua iko gumu 2015!
ReplyDeleteMama amemaliza kipindi vibaya sana, ametoa makucha yake. Anaongea uongo tena kipindi cha Kwaresma. Umejishusha hadhi sana. Umekuwa mjanja kujitoa kwa vile ni wazi usingechaguliwa mwaka huu. Huna upendo wa dhati, na uspika umekufanya ujioneshe dhahiri wewe ni nani!!! Angalia hayo maaoni yote hapo juu, hakuna hata mmoja anayekubaliana nawe. Elewa sasa watanzania wa kudanganywa hawapo tena. Hongera kwa kusoma nyakati na kuamua kujitoa. Ushauri wangu, ondoka kimya kimya. Huo mjadala unaotaka kuuanzisha sasa hivi unazidi kukushushia hadhi. Pia mwogope Mungu! Bungeni hakuan fedha!!! Nani kasema, wafanya biashara maarufu wana kila kitu bado wanafanya kila njia wawepo hapo! Nakumbuka jirani yang Daktari Bingwa wa watoto naye alijaribu bahati yake, ili kukimbia posho za udaktari za 10,000!
ReplyDelete