Mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)  jimbo la Arumeru Mashariki, JMh oshua Nasari,(kushoto)akichukua fomu za kuomba ridhaa ya chama hicho kupeperusha bendera ya Chadema leo katika ofisi ya CHADEMA tawi la Maji ya Chai kutoka kwa Katibu wa wilaya, Mh Totinane Nandonde. Picha na mdau Filbert Rweyemamu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. nilimpigia kura baba yake lakini siko tayari kumpigia na mwanae pia Kura yangu kama mkazi wa arumeru inakwenda kwa JOSHUA NASARI naamini ni kijana mwenye upeo mkubwa na anao uwezo wa kutuwakilisha vyema.

    ReplyDelete
  2. Chadema kamata jimbo hilo.Hilo ni jimbo letu

    ReplyDelete
  3. CHADEMA MOTO ULE ULE, NASARI USIKOSEE WAKATI NDIO HUU!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  4. Hujaulizwa kama utampigia nani au unapenda chama kipi na wala hujaambia uanze kampeni. Waswali bwana nooma!

    ReplyDelete
  5. NI WAKATI WA MABADILIKO ARUMERU,TUNAHITAJI CHANGAMOTO MPYA NA SASA TUIPE CHADEMA NAFASI YA KULIKOMBOA JIMBO HILI AMBALO KIHISTORIA HATUJAWAHI KUMPATA MBUNGE WA KUTUSAIDIA KATIKA MAENDELEO

    ReplyDelete
  6. Bila kuboreshwa daftari la kupigia kura haki haitotendeka. Tume ya uchaguzi wandikisheni upya watu wengine wapya waliopata sifa za kupiga kura baada ya 2010. Pia waondoeni katika daftari wale ambao wametangulia mbele ya haki au wamehama tangu 2010. Demokrasia ni gharama na kamwe gharama zisiepukwe kwa kisingizio

    ReplyDelete
  7. All the best Mr Nassari.This is you time to join for regime change rally
    .

    ReplyDelete
  8. Kila la kheri CDM, Ingieni kwny uchaguzi kimapambano na kimkakati zaidi.CCM wamejipanga kwa njia halamu& halali ili kulitwaa jimbo.

    ReplyDelete
  9. katibu mkuu wa chadema R SLAA amewahi kundika `HITIMISHO BILA UTAFITI NI UVIVU WA KUFIKIRI`´kwa nini wanachadema tunaendelea kutoa mahitimisho bila utafiti,kumtafiti sioyi ni kumuacha afanye kampeni bila kumyanganya haki yake ya kiraia ya kugombea nafasi ya kisiasa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...