Mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jimbo la Arumeru Mashariki, JMh oshua Nasari,(kushoto)akichukua fomu za kuomba ridhaa ya chama hicho kupeperusha bendera ya Chadema leo katika ofisi ya CHADEMA tawi la Maji ya Chai kutoka kwa Katibu wa wilaya, Mh Totinane Nandonde. Picha na mdau Filbert Rweyemamu
Home
Unlabelled
turufu ya chadema jimbo la arumeru mashariki
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
nilimpigia kura baba yake lakini siko tayari kumpigia na mwanae pia Kura yangu kama mkazi wa arumeru inakwenda kwa JOSHUA NASARI naamini ni kijana mwenye upeo mkubwa na anao uwezo wa kutuwakilisha vyema.
ReplyDeleteChadema kamata jimbo hilo.Hilo ni jimbo letu
ReplyDeleteCHADEMA MOTO ULE ULE, NASARI USIKOSEE WAKATI NDIO HUU!!!!!!!!!
ReplyDeleteHujaulizwa kama utampigia nani au unapenda chama kipi na wala hujaambia uanze kampeni. Waswali bwana nooma!
ReplyDeleteNI WAKATI WA MABADILIKO ARUMERU,TUNAHITAJI CHANGAMOTO MPYA NA SASA TUIPE CHADEMA NAFASI YA KULIKOMBOA JIMBO HILI AMBALO KIHISTORIA HATUJAWAHI KUMPATA MBUNGE WA KUTUSAIDIA KATIKA MAENDELEO
ReplyDeleteBila kuboreshwa daftari la kupigia kura haki haitotendeka. Tume ya uchaguzi wandikisheni upya watu wengine wapya waliopata sifa za kupiga kura baada ya 2010. Pia waondoeni katika daftari wale ambao wametangulia mbele ya haki au wamehama tangu 2010. Demokrasia ni gharama na kamwe gharama zisiepukwe kwa kisingizio
ReplyDeleteAll the best Mr Nassari.This is you time to join for regime change rally
ReplyDelete.
Kila la kheri CDM, Ingieni kwny uchaguzi kimapambano na kimkakati zaidi.CCM wamejipanga kwa njia halamu& halali ili kulitwaa jimbo.
ReplyDeletekatibu mkuu wa chadema R SLAA amewahi kundika `HITIMISHO BILA UTAFITI NI UVIVU WA KUFIKIRI`´kwa nini wanachadema tunaendelea kutoa mahitimisho bila utafiti,kumtafiti sioyi ni kumuacha afanye kampeni bila kumyanganya haki yake ya kiraia ya kugombea nafasi ya kisiasa.
ReplyDelete