Salam
Urban Pulse Creative wakishirikiana na Aset wanakuletea shindano Kabambe la kutafuta vipaji mbalimbali akatika tasnia ya Muziki lijulikanalo kama "TWANGA ACADEMY" likijumuisha waimbaji, Marepa, wapiga vyombo vya muziki, madensa n.k. Fomu na usajili rasmi utaanza siku ya jumapili ya tarehe12/2/2012 pale katika viwanja vya Leaders Club kuanzia saa tano asubuhi mpaka saa tisa mchana.


Form ni ths 2000 kwa mshiriki, pia unatakiwa kuja na picha moja(passport size) na uwe na miaka kuanzia 18-25. Mwisho wa kurudisha form ni Tarehe 13/02/2012 saa kumi jioni katika ofisa za Aset Kinondoni nyuma ya Mango garden. Tafadhali zingatia muda


Kwa mealezo zaidi wasiliana na Nocha 0654212074 
Vigezo na Masharti vitazingatiwa...
Karibuni wote

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Nilikua naomba kuuliza, mimi ni mtaalam wa kupuliza Saxaphon, naweza kukubalika?maana naona muziki wa sikuhizi chombo hiki hakitumiki,sasa naweza kuchukua form?

    ReplyDelete
  2. WEWE CHOCHOTE UNACHOWEZA KUKITUMIA KATIKA MUSIK WEWE NJOO FUATIA UTARATIBU UNAKARIBISHWA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...