Meneja Uhusiano na Mawasiliano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Edith Mushi akikabidhi Francis Dande wa Globu ya Jamii zawadi kwa mshindi wa kwanza wa shindano la waandishi wa habari la uonjaji wa bia bora za kampuni hiyo wakati wa shindano lililofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Wataalamu wa kuonja kilaji wakiwa shindanoni.
Shindano likiendelea
Mshindi wa Pili Silvan Kiwale akipokea zawadi yake kutoka kwa Meneja Uhusiano na Mawasiliano wa TBL, Edith Mushi
Mshindi wa tatu, Cliford Ndimbo akipokea zawadi yake kutoka kwa Meneja Uhusiano na Mawasiliano wa TBL, Edith Mushi
washindi wakiwa katika picha ya pamoja. Kutoka kushoto ni Cliford Ndimbo, Francis Dande na Silvan Kiwale
kweli tusitishane kwa nyama maana hata sambusa zinanyama,minyama yote ya ndimbo,siyo mtaalam wa kupiga maji kama dande?libeneke oyeeeee
ReplyDeleteBahati yao Ankal hakushiriki, angeshinda zawadi zote tatu bila ulalamishi.
ReplyDeleteAbiola Jr.
Mafia kiduka cha juice
Kweli Bongo tambarare!! Wenzetu wanabeba kombe la Afrika sie twashindania kunywa pombe. Kuna lile shindano lingine alilo-post hapa hapa Michuzi la kula nyama!!!
ReplyDeleteDad wangu Francis Dande hongera sana. itabidi unipitishie vikopo kama hujamaliza.
ReplyDelete