Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizindua Chuo cha VETA cha Shinyanga akiwa katika ziara ya mkoa huo, Februari 26, 2012. Kushoto kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Ally Nasoro Rufunga
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akikagua mafunzo ya ukatibu muhtasi wakati  alipozindua Chuo cha VETA cha Shinyanga  akiwa katika ziara ya mkoa huo Februari 26, 2012 .(
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akikagua mafunzo ya ukatibu muhtasi wakati  alipozindua Chuo cha VETA cha Shinyanga  akiwa katika ziara ya mkoa huo Februari 26, 2012
Wasanii wa ngoma ya Kisukuma ya  Buyeyewakicheza ngoma hiyo wakati Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alipohutubia  mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Shycom Mjini   Shinyanga, Februari 26,2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Mheshimiwa uwe unawatuza japo kidogo jamaa kama hawa, wamejitutumua mno kukufurahisha na kukufundisha mila.

    ReplyDelete
  2. Hilo joka hatari kweli(Python?) linaua kwa kukaba kwa kujizungusha.

    David V

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...